Picha za Samsung Galaxy S9 na S9 Plus Zavuja

0
Sambaza

Picha za Samsung Galaxy S9 na S9 Plus Zavuja.

Samsung wapo njiani kutambulisha simu zao mpya, Samsung Galaxy S9 na Galaxy S9 Plus ila tayari taarifa nyingi zimeshavuja kuhusu sifa za simu hizo, mfano ni picha za simu hizo zilizovuja pia.

Muonekano wa simu za Samsung Galaxy S9 na S9 Plus:

Picha za Samsung Galaxy S9 na S9 Plus zavuja Muonekano wa Samsung Galaxy S9 na S9 Plus

Picha za Samsung Galaxy S9 na S9 Plus zavuja: Muonekano wa Samsung Galaxy S9 na S9 Plus

Sifa za ndani (zinazotambulika hadi sasa kupitia vyanzo visivyo rasmi).

Sifa ya Samsung Galaxy S9;

  • Ukubwa wa inchi 5.8 – Super AMOLED Display
  • Prosesa ya Snapdragon 845 kwa toleo la Marekani na China, huku toleo litakalouzwa nchi nyingine litakuja na prosesa ya Exynos 9810.
  • GB 4 ya RAM, na GB 64 za uhifadhi data.
  • Kamera yenye lensi moja kwa nyuma
SOMA PIA:  Watumiaji wa mitandao ya kijamii 'Kukamuliwa' Uganda

Kwa Galaxy S9 Plus;

  • Ukubwa wa inchi 6.2 – Super AMOLED Display
  • Prosesa ya Snapdragon 845 kwa toleo la Marekani na China, huku toleo litakalouzwa nchi nyingine litakuja na prosesa ya Exynos 9810.
  • GB 6 ya RAM, na GB 128 ya uhifadhi data
  • Kamera yenye lensi mbili kwa nyuma

Kwa sasa hizi ni sifa chache zinazojulikana kuhusu simu hizi, endelea kutembelea tovuti ya Teknokona na tutakupa uchambuzi mzima wa simu hizi tunazozitarajia kutambulishwa rasmi na Samsung mwezi Machi tarehe 16.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com