fbpx

Programu tumishi kutoka kwa msanii wa Tanzania

0
Sambaza

Imezoeleka kuona programu tumishi zilizotengenezwa na watu kutoka Marekani na kutokea kupendwa na wengi mfano Snapchat, WhatsApp, n.k lakini watanzania nao wanauthubutu wa kuwekeza upande huo.

Katika hali ya kujiweeka karibu na mashabiki zake msaani maarufu wa filamu na msajisiriamali Wema Sepetu ana programu tumishi yake ambayo inazungumzia mambo kazi zake na mengineyo ya kumhusu.

Programu tumishi ya WSA inaweza kupakuliwa na watu wengi kutokana na mvuto wa msanii huyo kwa jamii hasa mabinti. can you buy viagra at a gas station WSA inapatikana katika simu zinazotumia Android tu kwa sasa.

msanii

Kwa hakika uamuzi wa msanii huyo kutoka TZ ni ishara tosha kuwa yeyote yule anaweza kumiliki app na kuitumia kujiongezea kipato.

Je, wewe ni shabiki wa Wema? Una mtazamo gani na yeye kuwa na app yake? Tuandikie maoni yako hapo chini. Bofya>>WSA kuishusha kwenye simu yako (Android).

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Kutuma jumbe za kawaida kupitia tovuti
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.