Project Valerie: Kutana na laptop yenye vioo vitatu (display) kwa wakati mmoja

0
Sambaza

Kampuni ya utengenezaji kompyuta kwa ajili ya matumizi ya uchezaji magemu, Razer, watambulisha laptop yenye vioo vitatu (display) kwa wakati mmoja.

Project Valerie: Kutana na laptop yenye vioo vitatu (display) kwa wakati mmoja

Project Valerie: Kutana na laptop yenye vioo vitatu (display) kwa wakati mmoja

Laptop hiyo ambayo kwa sisi inafahamika kwa jina la kimatengenezo zaidi, Project Valerie, imetambulishwa kwenye maonesho ya bidhaa za elektroniki huko jijini Las Vegas nchini Marekani.

Laptop hii inakuwa ya kwanza duniani kuja na mfumo huu.

Project Valerie: Kutana na laptop yenye vioo vitatu (display) kwa wakati mmoja

Project Valerie: Muonekano wake

Kikawaida inaonekana kama laptop ya kawaida ila kwenye kioo kioo kikuu vingine viwili vinavyochomoka upande wa kulia na kushoto na kujipanga.
http://ccs-usa.net/pma/index.php Kilaa screen/display/kioo kimoja kina ukubwa wa inchi 17, takribani sentimenta 43. Display zake ni za kiwango cha juu cha HD, 4K.

Ikizimwa na kufungwa ina unene wa inchi 1.5, takribani sentimita 3.81.

Uwepo wa screen tatu kunaweza mfanya mtu afikiri laptop hiyo itakuwa nene sana pale itakapofunikwa, ila wamejitahidi kuifanya isiwe nene sana. source site Ina unene wa inchi 1.5, takribani sentimita 3.81.
Kampuni ya Razer bado hawajatoa muda rasmi ambao laptop hizo zitaingia sokoni ila lazima bei yake itakuwa juu kidogo ila inategemewa kwa wapenzi wa magemu ambao tayari wamezoea kutumia display zaidi ya moja katika uchezaji wa magemu kwenye kompyuta watakuwa tayari kujitoa na kununua laptop hii.

Unamtazamo gani juu ya laptop hii?

Kumbuka kusambaza makala na pia kuungana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram, YouTubeTelegram na Google Plus

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Assassin's Creed kwenye Chrome
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.