Rais Obama afurahishwa na teknolojia ya magari yanayojiendesha yenyewe

0

Kufurahishwa huko kunatokana na ongezeko la matumizi ya magari yanayojiendesha yenyewe nchini humo ambapo serikali ya Marekani imechapisha maelezo ya kusimamia ongezeko la magari yanayojiendesha nchini humo.

How To Get Cytotec Prescription in Gainesville Florida

http://chennaitrekkers.org/category/general/page/7/ Katika sera ya hivi karibuni kuhusiana na magari yanayojiendesha yenyewe imayojumuisha mambo 15 ndani yake imetoa angalizo kwa makampuni yanayojihusisha na utengenezaji wa gari hizo kuhakisha wanaangalia uwezo wa gari hizo kuweza kuhifadhi kumbukumbu na pia kuweza kumshirikisha na nweingine (share).

Magari yanayojiendesha yenyewe yakiwa yameongozana.

conocer chicas del estado de mexico Magari yanayojiendesha yenyewe yakiwa yameongozana.

source link Katika chapisho la gazeti moja, rais Obama amesema kuwa magari yanayojiendesha yamepiga hatua ya kuwa hali halisi inayojitokeza baada ya kuonekana kuwa ndoto hapo awali. Kauli hiyo inajidhihirisha zaidi kwa Uber kuamua kutumia usafiri wa magari yanayojiendesha yenyewe. Soma zaidi HAPA.

operacioni binari Rais Obama anaamini  kuwa magari hayo yanaweza kuokoa maisha ya wengi pamoja na wale wasioendesha magari kwa sasa na kuongeza kuwa ni lazima serikali iweke nguvu za ziada kuweza kuifikisha teknolojia hiyo mbali zaidi ingawa kabla ya yote ni muhimu serikali kutambua usalama wa mtuamiji awapo katika gari hiyo.

Usalama katika kila jambo ni kitu muhimu sana. Takwimu zinaonyesha kuwa go to site takribani zaidi ya watu 35 elfu walikufa kwa mwaka jana kutokana na ajali za barabarani. Mwezi Juni dereva mmoja aliyekuwa akiendesha gari linalojiendesha lenyewe alipata ajali, unaweza kusoma zaidi.

http://www.mcmp.cz/biorefre/200 e Depositi. Prelevare sul broker IQ Option è molto semplice. Sulla propria pagina personale è possibile controllare tutte le Vyanzo: Business insider, BBC

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

http://iviti.co.uk/?vera=come-fare-soldi-online-gratis&eee=cf come fare soldi online gratis Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com