Sababu Kwanini Hatuwezi Hifadhi Namba Za Simu Kichwani Tena! - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Sababu Kwanini Hatuwezi Hifadhi Namba Za Simu Kichwani Tena!

0
Sambaza

Je unaweza kumbuka namba ya mwanao, mpenzi wako au watu wako wa karibu? Tafiti zimefanyika na zimegundua kwa watu wengi ni vigumu sana kukumbuka namba za watoto wao au hata zile za ofisini bila ya kutazama katika simu zao, yaani ‘Contacts’.

Kumbuka kitu hiki hapo awali kilikua ni rahisi sana, mtu aliweza hifadhi namba kichwani kiurahisi tuu. Pengine labda watumiaji wa simu wameongezeka na hata uwezo wa simu umeboresha. Unakumbuka zamani ‘phone book’ mtu alikua anatembea nayo kwenye kitabu/diary spesheli iliyojaa namba za watu?. Lakini hayo yote yamebadilika na teknolojia mpya imetudumaza.

Katika tafiti hii iliyofanyika barani ulaya ilionyesha kuwa zaidi ya nusu ya watu wa ulaya hawakuweza kukumbuka namba za watoto wao au hata zile za ofisini bila kutazamia katika simu. Na pia theluthi ya watu hao, hawana la kufanya ili kuwasiliana na wapenzi wao bila ya kuwa na simu zao.

INAYOHUSIANA  Simu mpya ya Oppo Find X yazinduliwa Ufaransa

phones

Lawama zinaweza kwenda kwa hii kitu inaitwa “ where can you buy Divalproex digital amnesia” (Ule usahaulifu wa kidigitali). Ni ule usahaulifu usio wa msingi ambao unatokana na utegemezi wa teknolojia.

Lawana zinaweza kwenda kwa hii kitu inaitwa “ buy Levetiracetam digital amnesia” (Ule usahaulifu wa kidigitali). Ni ule usahaulifu usio wa msingi ambao unatokana na utegemezi wa teknolojia.

buy priligy sildenafil (super p force) Watafiti katika Kaspersky Lab, ambao walifanya utafiti dunia nzima, wamesema uwezo wetu wa kutokumbuka vitu kama hivi (namba za simu) ni kwa sababu tunaachia vifaa vyetu vya kidigitali  kama simu kutufanyia yote haya.Lakini hata hivyo nani anataka hifadhi hizi namba za simu wakati simu inaweza fanya hivyo, Sio? Sawa lakini kumbe kuna madhara yake makubwa kuliko tunavyofikiri.

INAYOHUSIANA  Herufi zenye maana kubwa sana kwenye kicharazio zaidi ya kazi zake

Utafiti ulionyesha kuwa asilimia 51 ya wamarekani na asilimia 40 ya watu wa ulaya kwamba walidai kuwa kupoteza taarifa zao ambazo zimehifadhiwa katika vifaa vyao vya kidigitali kunaweza sababisha madhara kwa mwili na akili.

Hii ni ya kweli kabisa kwani hata kwa wanawake na baadhi ya vijana walioulizwa maswali walisema kuwa simu zao ndio sehemu pekee ambayo wanahifadhi picha, meseji na taarifa zao zingine za umuhimu. Bila ya kuwa na ‘back up’ ya taarifa hizo basi kuna hati hati kubwa ya kuzipoteza au hata pale unapoibiwa kifaa chako taarifa hizo zinapotea kabisa.

Teknokona inashauri kuwa ni jambo zuri kuchukua mda wako na kuanza kariri namba za wapendwa wako kwa kichwa — Ndio — teknolojia ni nzuri lakini kuwasiliana na wapendwa wako bila kizingiti chochote hilo ni jambo zuri zaidi sio?.

Kama una lako la moyoni dondosha sehemu ya comment hapo chini. Pia usisahau tembelea mtandao wako pendwa ktk masuala ya teknolojia TeknoKonaDotCom kila siku.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Leave A Reply