Simu za Samsung Galaxy kuanza kupata toleo la Android Oreo 2018

Simu za Samsung Galaxy kuanza kupata toleo la Android Oreo 2018

0
Sambaza

Kampuni ya simu za Samsung Galaxy imeanza kufanyia kazi toleo jipya la Android Oreo 8.0 kwa simu zake na inatarajiwa kuanza kupatikana mwanzoni mwa mwaka 2018.

http://lauragogia.com/a/language.php?l=pl_PL

http://lawplan.org/ Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na ofisi za Samsung nchini Uturuki haikuweka wazi tarehe au mwezi gani ndipo simu za Samsung Galaxy zitaanza kupata toleo la Oreo. Hata hivo simu zinazotarajiwa kuwa za kwanza kupata toleo la Oreo ni Samsung Galaxy S8, Samsung Galaxy S8 na Samsung Galaxy Note 8.

samsung galaxy kuanza kupata toleo la android oreo

where to purchase Keppra Simu za Samsung Galaxy kuanza kupata toleo la Android Oreo 2018: Nembo ya Android 8 (Oreo)

 Mwaka huu simu nyingi za Samsung Galaxy zilipata toleo la Nougat. Samsung imekuwa ikichelewa kupandisha matoleo mapya ya Android kwa kuwa hufanyia kwanza marekebisho kadhaa ili kuendana na simu zake.

INAYOHUSIANA  Jinsi ya kuficha au kufichua mazungumzo kwenye WhatsApp

Kwa kawaida simu za Pixel ambazo hutengenezwa na Google hupata mapema zaidi matoleo ya Android kuliko simu nyingine zinazotumia mfumo endeshi wa Android.

Toleo la Android Oreo lililozinduliwa Agosti 22 mwaka huu, limekuwa likisubiriwa na watumiaji wengi wa Android kwa kuwa limeambatanishwa na nyongeza nyingi na vionjo vizuri.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.