Samsung Galaxy S9 Itakuja Katika Matoleo Mawili! - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Samsung Galaxy S9 Itakuja Katika Matoleo Mawili!

0
Sambaza

Inasemekana kuwa simu za Samsung katika mwendelezo wake wa matoleo ya Galaxy wako mbioni kuleta toleo liningine sokoni

http://elopeabroad.com/tag/wedding-planning/

where to buy topamax usa Baada ya Samsung Galaxy S8 sasa ni zamu ya S9 — Pia inasemekana kuwa matoleo haya yatatoka mawili yaani S9 na S9 Plus.

http://averagejoesmma.com/upcoming-events?cid=all Kampuni ipo katika matengenezo ya simu hizo mbili na ili kuhakikishai watu kuwa simu hizo zipo katika matengenezo wameweza pia kuweka wazi namba za modeli ya simu hizo, G960FXXU0AQI5 kwa ajili ya Galaxy S9 na G965FXXU0AQI5 kwa ajlli ya S9 Plus.

Watabiri wengi wamesema simu hiyo itakuja na angalau GB 4 katika ujazo wake wa RAM, Pia itakuja na kamera mbili (dual) kama ilivyokua kwa Note 8.

INAYOHUSIANA  Samsung kuwekeza zaidi kuimarisha bidhaa zake

Itakua inaendeshwa na Android Orea tangia mwanzo kabisa. Kingine ni kwamba inasemekana kuwa Galaxy S9 zitakuwa na umbo sawa sawa kabisa na matoleo ya Galaxy s8. Hii inaonyesha kabisa kuwa kampuni inajikita zaidi katika ubunifu wa nadani ya simu  na sio kuongeza ukubwa wa skrini ya vifaa vipya.

Mambo yakikaa sawa, kampuni inaweza ikaitoa simu hiyo mwezi Aprili mwaka 2018. Inaweza ikaonekana kama ni mbali ila kwa siku zinavyokumbia ni kesho tuu hivyo tusubiri….

Teknokona itakua na wewe bega kwa bega kukupa taarifa zote kuhusiana na simu hizi pindi tuu kutakapokuwa na taarifa mpya/zitakapotoka hivyo baki nasi.

Kumbuka Kutembelea TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.