Sasa Badilisha Maelezo ya Picha katika Instagram - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Sasa Badilisha Maelezo ya Picha katika Instagram

0
Sambaza

Je umeshashusha toleo jipya la Instagram?

  • click here Wameleta uwezo wa wewe kuweza kubadilisha maneno/maelezo ya picha uliyotuma. Kawaida ilikuwa kama ukikosea maelezo ya picha husika ilikuwa inakubidi uifute na kuiweka upya.
Ushawahi kuchapia na kufuta picha? Hakuna tena kufuta

follow url Ushawahi kuchapia na kufuta picha? Hakuna tena kufuta

 

instagram_teknokona

 

Unaweza kushusha toleo hilo kwa kubofya  -> iOS (iPhone & iPad) |  Android |

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Ujio wa HTC U12 Life haupo mbali sana
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply