Kiongozi nchini Saudi, Marufuku mtu kupiga picha za selfi na Paka

Kiongozi wa kidini nchini Saudi apiga marufuku kupiga picha za selfi na Paka

0
Sambaza

Paka ni moja ya viumbe maarufu sana katika mitandao ya kijamii baada ya binadamu. Na uhakika ushakutana na picha na video kadhaa za paka katika pitapita zako. Kiongozi mmoja wa kidini nchini Saudi apiga marufuku watu kupiga picha za selfi na viumbe hao.

where to purchase Topiramate Kiongozi huyo (Cleric) bwana Saleh bin Fawzan al-Fawzan ni mmoja wa wajumbe wa baraza la kidini lenye nguvu sana nchini humo – Saudi Council of Senior Scholars.

http://gaethicswatchdogs.org/2015/12/wsbtv-group-wants-ethics-commission-to-investigate-dekalb-chamber-of-commerce/embed/ Picha/video za paka, na picha za selfi na paka ni maarufu sana mtandaoni.

picha selfi na paka

Picha ya utani

Bwana Fawzan amesema ‘kupiga picha na paka ni tabia inayosambaa sana kwenye http://bayousolar.com/black-label-ralph-054.html watu wanaopenda kuwa kama wazungu’ (alitumia neno ‘westerners’, yaani watu wa mataifa ya magharibi – Ulaya na Marekani.

INAYOHUSIANA  Waliopewa dhamana ya kusimamia mifumo ya TEHAMA serikalini waonywa na kutakiwa kuzingatia weledi kazini

Kiongozi huyo aliliongelea jambo hilo baada ya kuulizwa swali kuhusu mtazamo wako juu ya jambo la upigaji picha za selfi alipokuwa anahojiwa katika kipindi cha televisheni.

Baadaye alipanua zaidi tafsiri yake akisema upigaji picha wa aina yeyote kama hauna maana si wa lazima. Alisema isiishiye kwenye paka tuu bali ata na mbwa au kingine chochote kisicho cha ulazima/maana.

Watu wengi wamejitokeza kwenye mitandao ya kijamii wakipinga katazo hilo, wengi wanaonesha kupinga kwao kwa kupiga picha za selfi na paka wao.  🙂

INAYOHUSIANA  Miaka kumi ya App Store kwenye biashara

Je una mtazamo gani juu ya jambo la picha za selfi? Je kunatakiwa kuwa na mipaka (boundaries) katika upigaji picha za selfi?

Chanzo: RT

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.