SecuTABLET : BlackBerry, Samsung na IBM Waungana Kuleta Tableti

0
Sambaza

Miaka kama mitatu minne hivi iliyopita mtu asingefikiria kuna muungano kama huu ungeweza kutokea katika kuleta kifaa chochote kama tableti. Lakini umetokea.

follow site Baada ya BlackBerry kununua kampuni moja ya teknolojia ya kiusalama zaidi ya Secusmart ya huko Ujerumani sasa wameshirikiana na kampuni ya IBM na Samsung na kuleta tableti iliyo kwenye kiwango cha juu kabisa cha kiusalama inayoenda kwa jina la SecuTABLET.

secusmart-blackberry-samsung-ibm

sites de rencontres motards SecuTABLET imetumia tableti ya Samsung Galaxy Tab S 10.5 kujengea mfumo wake wa juu wa Kiulinzi/Usalama

Tableti hiyo ambayo itaweza kutumiwa na vitengo muhimu vya kiserikali na makampuni au mashirika kama ya kibenki n.k ambayo ni muhimu masuala/data zake zitunzwe kwa usiri mara zote kuzilinda kutoka kwenye wizi wa kiintaneti – yaani ‘hacks’.

SOMA PIA:  Instagram yazidi kuiiga Snapchat, yaleta face filters na Hashtags

http://arbhojpuri.com/download-song/2510/ Tableti hii itatengenezwa kutumia toleo la opzioni binarie soldi facili Samsung Galaxy Tab S 10.5 na teknolojia ya ulinzi iitwayo ‘secure app wrapping’ kutoka IBM.  Apps za kawaida kama vile Facebook, YouTube, Twitter na WhatsApp pia zinaweza kutumika bila wasiwasi wowote wa kiusalama.

Chini ya Uongozi wa Bwana John Chen, BlackBerry Imebadilika Kutoka Kutegemea Mapato ya Mauzo ya Simu na Kujikita Zaidi katika Teknolojia ya Usalama/Ulinzi

follow url flirter avant le mariage Chini ya Uongozi wa Bwana John Chen, BlackBerry Imebadilika Kutoka Kutegemea Mapato ya Mauzo ya Simu na Kujikita Zaidi katika Teknolojia ya Usalama/Ulinzi

sma opzioni digitali Kampuni ya BlackBerry inajikita zaidi katika masuala ya teknolojia ya usalama na inasemekana imeanza kuona mapato yake yakikua zaidi taratibu. Kampuni ya teknolojia ya usalama ya Secusmart waliinunua mwezi wa kumi na mbili, 2014 na pia tayari kwa ushirikiano na Samsung, BlackBerry wametoa programu inayoweka ulinzi zaidi kwa simu na tableti za Samsung Galaxy inayotambulika kama femme cherche veuf ‘BlackBerry Enterprise Service 12’.

SOMA PIA:  Ndege za bila ya rubani/drones kusimamiwa zaidi Uingereza

como coquetear con un chico de 16 Bado hawajasema rasmi tableti hii ya source SecuTABLET inataingia lini sokoni ila wameshaeleza ni itakuwa inauzwa bei ya juu zaidi kutokana na teknolojia iliyotumika na aina ya wateja wanaotegemewa kuitaji kifaa kama hichi.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com