Serikali ya Tanzania yakanusha uzushi unaoenezwa mitandaoni

0
Sambaza

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari nchini kuhusu wanafunzi wanaohitaji mikopo ya elimu ya juu.

http://karenwritesromance.com/?bioeier=option-trade-opinie&e0e=1c

go site Madai ambayo yamekuwa yakisambazwa mitandaoni ni kwamba mwanafunzi yeyote ambae mzazi wake ana leseni ya biashara hataruhusiwa kupata mkopo kutokana na wazazi wake kuwa na uwezo.

programvara binära optioner Naibu waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mh. William Ole Nasha amesema http://creatingsparks.com.gridhosted.co.uk/2016/ taarifa hizo si za kweli na amewaomba watanzania kuzipuuza kwani zina lengo la kuichonganisha serikali na wananchi wake.

uzushi unaoenezwa

Work from home testing products uk Mitandao ya kijamii imekuwa njia moja rahisi ya kuwasiliana na watu popote duniani, muda wowote; source link zaidi ya watu milioni 4 wapo kwenye mitandao ya kijamii kwa Tanzania.

Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu ya usambazaji taarifa mbalimbali kwa urahisi na haraka lakini inapotumiwa vibaya huleta usumbufu na madhara kwa jamii.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
SOMA PIA:  Ulinzi madhubuti wa kudhibiti barua pepe kudukuliwa (mtu mwingine kuitumia)
Share.

About Author

rencontres professionnelles geneve Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

go to link Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com