Sifa za Undani – Simu ya Tecno Phantom 6 Plus

0
Sambaza

Je umeshapitia makala yenye sifa za Tecno Phantom 6? Tecno Phantom 6 na Phantom 6 Plus ni simu mpya kutoka kampuni ya Tecno zilizotambulishwa rasmi jijini Dubai.

tecno phantom 6 plus

Tecno Phantom 6 Plus inakuja na kamera ya megapixel za kutosha, 21.

Utambulisho wa simu hizo ulitangaza rasmi pia ya kwamba Tecno wataanza kuuza simu zao duniani kote na si bara la Afrika pekee kama ilivyokuwa.

tecno phantom 6 tecno phantom 6 plus

Tecno Phantom 6 Plus

Teknolojia za mawasiliano

 • GSM: 850 / 900 / 1800 / 1900
 • 3G: 850 / 900 / 1700 / 1900 / 2100
 • 4G: LTE 3/7/20
 • SIM: Laini mbili
 • WiFi: Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi hotspot, DLNA, Wi-Fi Direct
 • Bluetooth: Version 4.0, A2DP, LE
 • Upatikanaji wake: Septemba 2016
SOMA PIA:  Microsoft yaachana na utengenezaji wa simu za Windows

Umbo

 • Urefu na upana: -mm 160 X 83.46 X7.7
 • Uzito:

DISPLAY

 • Aina: FHD Display cha mguso (touchscreen)
 • Size: inchi 6.0 (1920 X 1080 pixels (~401ppi pixel density))
 • Multitouch: Ndio
 • Usalama wa kioo: Corning Gorilla Glass 3

SAUTI

 • Loudspeaker: Vibration, MP3 ringtones
 • 3.5mm jack: Ipo

MEMORI

 • Eneo la memori kadi: Sehemu ya moja ya laini inaweza tumika kwa kusomea memori kadi pia
 • Ujazo (Storage): GB 64
 • RAM – GB 4

PLATFORM

 • CPU: Quad-core 2.0GHz
 • GPU:
 • Processors:Helio X20
 • OS: Android 6.0 Marshmallow

KAMERA

 • Kuu: MP 21, phase detection autofocus, LED flash
 • Teknolojia za kamera: Geo-tagging, touch focus, face detection, HDR, panorama
 • Video: Ndio
 • Ya selfi: MP 8, LED flash
SOMA PIA:  Samsung yaendelea kuvunja rekodi za faida. Ijue biashara iliyowapa faida.

BETRI

 • mAh 4050

Bado taarifa za bei na kuanza kwa upatikanaji wake hapa nchini hatujazipata. Bofya hapa -> kusoma sifa za Tecno Phantom 6, tofauti zake na hii Plus ni pamoja na ukubwa, RAM na ujazo.

Tuambie mtazamo wako. Unaionaje simu hii kulingana na sifa zake?

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com