Sifa za Undani – Simu ya Tecno Phantom 6

0
Sambaza

Tecno watambulisha simu za Tecno Phantom 6 na 6 Plus na wametangaza rasmi kuanza kupatikana kwa simu zao katika nchi nyingi zaidi ya bara la Afrika tuu.

tecno phantom 6 tecno phantom 6 plus

Je kuna sifa gani za ndani za Phantom 6? Hizi ndio sifa kuu za simu hiyo;

Tecno Phantom 6

Teknolojia za mawasiliano

SOMA PIA:  Dell XPS 15: Kompyuta nzuri kwenye uhariri wa picha/video

Umbo

DISPLAY

 • go site Aina: AMOLED cha mguso (touchscreen)
 • enter site Size: inchi 5.5 (1920 X 1080 pixels (~401ppi pixel density))
 • follow link Multitouch: Ndio
 • Usalama wa kioo: Corning Gorilla Glass 3

SAUTI

 • Loudspeaker: Vibration, MP3 ringtones
 • 3.5mm jack: Ipo

MEMORI

 • Eneo la memori kadi: Lipo, na unaweza weka memori kadi ya hadi GB 128
 • Ujazo (Storage): GB 32
 • RAM – GB 3 GB

PLATFORM

 • CPU: Quad-core 2.0GHz
 • GPU:
 • Processors: MediaTek
 • OS: Android 6.0 Marshmallow
SOMA PIA:  Utafiti: Wakenya wengi wanatumia simu za Tecno

KAMERA

 • Kuu: MP 13, phase detection autofocus, LED flash
 • Teknolojia za kamera: Geo-tagging, touch focus, face detection, HDR, panorama
 • Video: Ndio
 • Ya selfi: MP 5, LED flash

BETRI

 • mAh 2700

SOMA PIA – Sifa za Undani – Simu ya Tecno Phantom 6 Plus

 

tecno phantom 6 tecno phantom 6 plus

Je unaonaje uwezo wa simu hii? Endelea kutembelea TeknoKona na tutaweka taarifa zaidi na uchambuzi zaidi hii ikiwa ni pamoja na kuhusu bei pale tutakapoifahamu.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com