Samsung kwa mwaka 2018: Kuuza mamilioni ya simu, Galaxy S9 ipo njiani

Samsung kwa mwaka 2018: Kuuza mamilioni ya simu, Galaxy S9 ipo njiani

0
Sambaza

Ripoti iliyotolewa hivi karibuni inasema Kampuni ya Samsung inatarajia kusambaza na kuuza simu janja milioni 320 kwa mwaka 2018 duniani kote.

see Katika taarifa hiyo pia inatarajia kuuza simu za kawaida (feature phones) milioni 40, tabiti milioni 20 na vifaa vingine vya simu milioni 5. Mauzo ya simu za Samsung Galaxy yamekuwa yakipanda mwaka hadi mwaka kutokana na uzuri na ubora wa simu zinazozalishwa na kampuni hiyo.

samsung kwa mwaka 2018

Topiramate by mail order Samsung kwa mwaka 2018: Wamethibitisha kuzindua Samsung Galaxy S9 na Samsung Galaxy S9 Plus mwezi Februari.

order Finpecia no prescription Malengo ya Samsung ya wingi wa uuzaji simu zake kwa mwaka huu (2018) ni tofauti na washindani wake wa karibu wa Apple na Huawei. Apple inatarajia kuuza simu zake milioni 200 kwa mwaka 2018  na Huawei inataraji kuuza milioni 150.

INAYOHUSIANA  Ripoti: Samsung Galaxy S7 ina tatizo!

Kwa mwaka 2018 Samsung wanatarajia kutoa simu mpya za matoleo kadhaa, Galaxy A8 ndio litakuwa toleo la kwanza kuuzwa kwa mwaka 2018. Tutaendelea kukutaarifu kuhusu kile ambacho Samsung itakileta kwa ulimwengu.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.