Simu janja za Android ni nyingi lakini si zote zitakazopata sasisho la Android P

1
Sambaza

Google wapo mstari wa mbele kutoa masasisho ya programu endeshi kwenye simu/kompyuta na hivi karibuni wametoa programu endeshi waliyoiita “Andriod P”. Android P tayari ipo sokoni lakini sio simu zote zinazotumia Android zitaweza kupata sasisho hilo jipya.

http://gsc-research.de/index.php?tx_mfcgsc_unternehmen[uid]=783 alternative bdswiss

How To Get Viagra Prescription in Corpus Christi Texas Programu endeshi mpya inapotoka watumiaji wengi wa simu rununu wanapenda kujua iwapo sashisho jipya lililotoka lina kipi kipya na hii imekuwa ni kawaida kwa watumiaji wote wa Andoid na iOS ingawa hata kama sasiho jipya limetoka lakini follow site ikatokea toleo la nyuma likatokea kupendwa zaidi.

come fare soldi facili con opzioni binarie Google Pixel C: Tabiti ambayo ni miongoni mwa simu ambazo hazitopata sasisho la Android P.

source url Simu janja ambazo hazitopata sassiho la Android P mbali na Pixel C ni Nexus 5X, Nexus 6P na sababu iliyoelezwa Google kufanya hivyo ni https://mummiesclub.co.uk/bilbord/1410 kwa mwaka huu (2018) wameamua kuangalia zaidi simu ambazo zina miaka miwili sokoni; Nexus 5X, Nexus 6P na Pixel C zilitoka mwaka 2015 zikiwa na Android 6.0 Marshmallow. Hata hivyo, simu mu hizo zitaendelea kupata masasisho kwa ajili ya kuzifanya simu zao kuwa salama. Masasisho hayo yataenda mpaka mwezi Novemba 2018 na kama ni masasisho ya programu endeshi yatakomea Android 8.1.

http://www.mylifept.com/?refriwerator=bin%C3%A4re-optionen-10euro-mindesteinzahlung&bcc=e6 binäre optionen scalping Tukiangazia wapinzani wakubwa wa Google ambao ni Apple wao wenyewe wameruhusu simu rununu iPhone 5S, iPad mini 2 na hata kizazi cha 6 cha iPod ya mguso kuweza kupokea masasisho ya kuhamia iOS 11 ambalo ni toleo la hivi sasa la programu endeshi kutoka Apple.

http://alschu.de/?destomit=bin%C3%A4re-optionen-testen-ohne-anmeldung&345=b5 iPhone 5S ilitoka mwaka 2013 lakini Apple wameruhusu simu hiyo kuweza kupata sasisho la iOS 11.

Nexus Player ambayo ilitoka mwaka 2014 pia haikuorodheshwa kama itakuwa inapata masasiho yoyote kutoka Google. Je, wewe unatumia simu mojawapo zilizo orodheshwa kutopata sasiho la programu endeshi ya Android P? Tuandikie maoni yako hapo chini.

here Vyanzo: Gadgets 360, The Verge

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
SOMA PIA:  Ifahamu simu janja Tecno H5 kwa undani zaidi
Share.

About Author

http://thenovello.com/alfondie/elkos/2420 Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com