´╗┐ Samsung The Leadership 8: Simu Janja mpya ya mkunjo yenye vioo viwili

The Leadership 8: Samsung waja na Simu Janja mpya ya mkunjo yenye vioo viwili

0
Sambaza

Samsung The Leadership 8. Hatimaye Kampuni ya Samsung imetangaza uzinduzi na ujio wa simu yake mpya ya mkunjo yenye vioo viwili.

Simu ya Samsung The Leadership 8

augmentin 625 mg buy online Simu ya Samsung The Leadership 8

http://mavericksmiraclebabies.org/index.php?rest_route=/ Ukubwa wa vioo vyake ni wa ichi 4.2. Teknolojia ya vioo ni ya Full HD Super AMOLED. Simu hiyo yenye namba ya utambulisho wa SM-G9298 (The Leadership 8 ) ina muonekano mzuri na wa kuvutia sana.
Simu hiyo kava lake limetengezwa kutokana na Aluminia linaifanya kuwa imara zaidi, itakuwa na Prosesa ya Qualcomm Snapdragon 821, na ujazo wa Uhifadhi wa 64GB.

buy estrace tablets RAM yake ni ukubwa wa 4GB na Betri lenye ukubwa wa 2300mAh ambalo linaweza kuchajiwa kwa njia ya wireless.

INAYOHUSIANA  Tetesi: Muonekano wa simu mpya za iPhone

Bila ya kusahau kamera ya nyuma ni 12MP na kamera ya mbele (selfie) ni 5MP. Aidha utaweza kutumia keyboard ya kutachi au halisi kwa namna utakavyopenda mwenyewe.

Kwa sasa simu hii itapatikana kwa masoko ya china tu na hakuna taarifa yoyote kwamba itapatikana kwa masoko ya nje ya China.

Ujio wa simu hii unaipeleka mbele zaidi kampuni ya Samsung katika uwanja wa Simu janja duniani. Umeionaje simu hiyo. Vipi ungependa kuitumia, tupe maoni yako.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.