Tahadhari: Password meters si za kuaminika kwa asilimia zote

0
Sambaza

Password meters zina udhaifu kwa kutofanya kazi vyema, hii iwe tahadhari kwa yule mwenye mpango wa kujiunga na mtandao wowote.

Unapojiunga katika mtandao/tovuti fulani na kufikia katika ya kuweka nywila na hivyo kuhakikiwa, kazi hiyo hufanywa na Password meters. Kwa tafiti za zilizowahi kufanyika zilibani password meters kushindwa kutambua kama nywila (nenosiri) uliyoiandika kama itakuwa na ulizi wa kutosha au la!

Nwilwa inahahakisha ulinzi wa akaunti yako.

Password meters ni njia inayotumika kuweza kubaini iwapo nenosiri uliloingiza wakati wa kujiunga kwenye mtandao/tovuti ni imara/dhaifu.

Pale nenosiri uliyoweka inapokataliwa huwa inaweka alama nyekundu na pale unaweka nywila sahihi basi sehemu ile ya nenosiri huwa inabadilika na kuwa ya kijani.

password-strength-meter

Wakati wa kujisajili katika mtandao fulani; pale nywilwa inapokubalika kwa uhakiki unafanywa na Password meters.

 Ni tumaini la kila mtu kwamba password meters zinafanya kazi ya uhakiki iwapo nenosiri ulloweka itakuwa salama lakini kwa upande mwingine wa shilingi vifaa hivyo havifanyi kazi hizo kwa usahihi.

Njia sahihi ya kufanya jaribio la kutaka kujua iwapo nywilwa yako ipo salama ni kwa kujaribu kudukua akaunti yako na kazi hiyo itahitaji utaalamu kudukua.

Ni muhimu kuhakikisha kuwa nyilwa unayoichagua iwe na mchanganyiko wa herufi, namba na alama mbalimbali kwa mfano ‘M@tG3rTh1mAn‘ ili kufanya akaunti yako iwe ni vigumu kudukuliwa. BOFYA HAPA kujua namna ya kutengenza nenosiri gumu.

SOMA PIA:  FIFA: Teknolojia ya video kutumika kombe la Dunia 2018 Urusi

Je, ulitengeneza nyilwa imara sana na kufanya iwe ni vigumu kwa akaunti yako kudukuliwa? Tuambie maoni yako katika sehemu ya comment hapo chini. TeknoKona ipo na wewe kiteknolojia zaidi.

Vyanzo: The guardian, the register

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com