Ondoa tatizo la mafaili katika flashi kuonekana kama Shortcut

0

Mmoja wa wasomaji wetu wa http://bossons-fute.fr/?fimerois=site-de-rencontre-freetic.fr&6a4=a3 teknokona alitaka msaada wa kutatuliwa tatizo lililoikumba Flashi yake kwamba kila akiiweka katika kompyuta yake mafaili yote hayafungui na yanaonekana kama Shortcut.

http://alschu.de/?destomit=binary-options-brokers-no-deposit-bonus&d8c=f9 Ni kweli wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo hilo. Tumeona ni bora kuandaa makala fupi ambayo itawanufaisha wengi zaidi na kuepusha kuombwa utatuzi wa suala hilo mara kwa mara.

Nini sababu ya tatizo la mafaili katika flashi kuonekana kama Shortcut?

follow site kinachosababisha ni Virus ambaye anachofanya kubadili mafile katika Flash. Ni kwamba Virus anakuwa ameingia katika Flashi na kusababisha file zako kuwa katika namna ya Shortcut.

see Na hii hutokea pale Flashi inapowekwa katika kompyuta iliyoathiriwa na Virus. Nini cha kufanya hali hiyo inapotokea katika Flashi yako. Unachotakiwa ni kuiingiza katika Kompyuta yako kama kawaida na kisha futa hatua ya kwanza mpaka ya tano kama tulivyoelekeza hapo chini.

ll ATTENZIONE!: opzioni binarie 60 secondi opinioniption opinioni e Recensioni. E' un broker sicuro ed affidabile o è una truffa? Scopri di più e come aprire la tua Demo Gratuita

http://mustangcipowebaruhaz.hu/?sisd=importo-minimo-su-opzioni-binarie-optionweb&b62=44 الخيارات الثنائية منتدى الحية Fanya hatua zifuatazo:-
1. Angalia Flashi imesoma herufi gani kama ni D, E, F, H, n.k
2. Baada ya kujua herufi iliyosoma fungua RUN (Windows + R) na andika CMD kisha bonyeza OK
3. Ikishafungua andika herufi inayosoma Flashi yako na uweke alama ya Colon get link : Mfano enter site D:
4. Baada ya hapo andika attrib *. -h -s /s /d kisha bonyeza Enter
5. Subiri kwa sekunde kadhaa ikimaliza nenda kafungue Flashi yako utakuta file zipo kama kawaida.

http://poloclubmiddennederland.nl/?p=55

source link Ukifuata hatua hizo kwa ufasaha utakuwa umemaliza tatizo la mafaili yako kuwa katika Shortcut. Ili tatizo hilo lisijirudie hakikisha Flashi yako unaitumia katika kompyuta zilizo salama na mashambulizi ya Virus.

Pia hakikisha na kompyuta yako ipo salama kwa kutoingiza Flashi ambazo huna hakika nazo au hakikisha kompyuta ina ant-Virus inayopata maboresho(Update) ya mara kwa mara.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

go to link Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com