TB 2 - USB Flash Drive yenye ujazo mkubwa zaidi yatambulishwa! - TeknoKona Teknolojia Tanzania

TB 2 – USB Flash Drive yenye ujazo mkubwa zaidi yatambulishwa!

0
Sambaza

Kampuni kongwe katika utengenezaji wa diski uhifadhi – hard drive na usb flash drive, ya Kingston yatambulisha rasmi USB Flash Drive zenye ujazo mkubwa zaidi.

TB 2

http://williamhuff.com/products/digital-printing/clubhouse-exterior-website/ USB Flash Drive ya TB 2 itachukua rekodi ya kuwa USB Flash Drive yenye ujazo wa juu zaidi kuwahi kupatikana sokoni.

http://vmustard.com/category/general/page/3/ USB Flash Drive hizo zinazokuja na ujazo wa TB 1 na toleo jingine la TB 2 zitatolewa chini ya familia ya Kingston DataTraveler Ultimate GT, – GT ikimaanisha ‘Generation Terabyte’, yaani kizazi cha terabyte.

USB Flash Drive ya TB 2 itachukua rekodi ya kuwa USB Flash Drive yenye ujazo wa juu zaidi kuwahi kupatikana sokoni.

get link Flash Drive hizi zimetambulishwa katika maonesho ya bidhaa za elektroniki huko jijini Las Vegas, #CES2017. Zinategemewa kuingia sokoni ifikapo mwezi wa pili mwaka huu ila hadi sasa bei zake bado hazijawekwa wazi ila kwa kiasi kikubwa usitegemee ziwe bei rahisi.

INAYOHUSIANA  NMB, Halotel kutoa huduma za TEHAMA bure mashuleni

Sifa zingine kwa undani;

  • Ujazo: TB 1/TB 2
  • Kasi: USB 3.1 Gen. 1
  • Urefu na upana: 72mm x 26.94mm x 21mm
  • zitaweza kufanya kazi kwenye programu endeshaji mbalimbali: Windows 10, Windows 8.1, Windows 8, Windows 7 (SP1), Mac OS 10.9.x and above, Linux v.2.6.x and above, Chrome OS

Vipi wewe unadhani unaweza ijaza usb flash hii ya TB 2 kwa vitu gani hasa?

Kumbuka kusambaza makala na pia kuungana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram, YouTubeTelegram na Google Plus

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.