TCRA: Simu bandia 4%, zisizotambulika 13% – Kufikia Machi 2016

0

go

Sambaza

Kupitia akaunti yao ya Twitter, TCRA wameoonesha data zinazoonesha hali ya simu bandia (maarufu kama feki) zinazotumika kufikia tarehe 31 Machi 2016.

Kitu kizuri katika data hizi ni kwamba zinaonesha simu nyingi zinazotumika ni origino kwa sasa. Hii ni kwa asilimia 83%

can you buy azithromycin and doxycycline Simu bandia (hazijasajiliwa kimataifa) ni asilimia 4 tuu ya simu zote zinazotumika huku asilimia 13 zinaonekana namba zake za usajili wa kimataifa (IMEI) zinaingiliana. Hili si sawa ila ni vigumu kujua ipi ni origino na ipi imebambikiziwa tu IMEI namba.

buy Lyrica from canada simu bandia

Je ushahakiki simu yako kujiridhisha? Kama bado basi soma hapa -> Jinsi ya kuangalia kama simu ni feki/bandia au la!

Chanzo: @TCRA – Tanzania

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Mkazo kuhusu kutolipia chaneli za ndani
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.