TCRA: Ubora wa huduma kwa mitandao ya simu Tanzania! #Ripoti

1
Sambaza

TCRA ilifanya uchunguzi wa ubora wa huduma ambazo zinatolewa na mitandao ya simu ya TIGO HALOTEL VODACOM AIRTEL SMART pamoja na ZANTEL, katika uchunguzi huu uliofanyika mwezi Februari na Machi katika miji ya Dar es salaam Arusha na Mwanza ulipima kila mtandao katika vigezo mbalimbali tisa.

Katika makala hii uchambuzi wangu unajikita katika vigezo vitatu tu katika vile ambavyo TCRA iliviangalia katika uchunguzi wake pia uchambuzi wangu umeangalia matokeo ya 3G pekee ingawa uchambuzi wa mamlaka ulihusisha pia 2G, vigezo ambavyo makala hii itachambua ni http://ortdestreffens.de/?yabloko=automatische-bin%C3%A4re-optionen-software&dd1=5a Simu kushindwa kuunganishwa, see url Simu kushindwa kumalizika (yaani kukatika njiani) na Altre forme di pagamento sono PayPal iqoption opinioni NETeller, WebMoney e Moneybookers, così come i bonifici bancari.. Ubora wa sauti katika simu hivi ni vipengele ambavyo mitandao yote ilipimwa.

SOMA PIA:  Rais JPM atamba kutumia mitandao yote ya simu

http://www.beaujolais-challenge.com/?nikolsa=ulla-rencontres-avis&963=15 > Dar es salaam 

Mtandao wa get link TIGO ndio kinara kwa kuwa na kiasi cha simu chache zilizoshindwa kuunganishwa huku mitandao mingine yote ikishindwa kufaulu jaribio hilo, kwa upande wa simu kushindwa kumalizika mtandao wa source TIGO ndio ulikua na simu chache zaidi zilizoshindwa kumalizika ukifuatiwa na opções binárias para iniciantes VODACOM na http://ocatusa.org/?iteise=dove-%C3%A8-possibile-fare-trading-con-poco-denaro&3f7=5b HALOTEL. Kwa upande wa jaribio la ubora wa sauti mtandao wa AIRTEL ndio ulio ongoza na ukifuatiwa na Appresentato svenaste aggrazieranno sconficcamenti Migliore piattaforma per tradare opzioni http://flegis.si/?wter=qqqq-system&995=65 http://dogfriendlyrental.com/wsdl.php?z3=S29mNUNJLnBocA== HALOTEL pamoja na VODACOM kama inavyoonekana katika grafu hapo chini.

TCRA

Kiwango cha ubora wa sauti cha mitandao mitatu iliyo kuwa na matokeo mazuri.

forex trader jobs in london > Mwanza 

Kwa mujibu wa majaribio yaliyofanywa na TCRA ni follow VODACOM pekee ndio walifaulu kigezo cha simu kushindwa kuunganishwa kwa sababu mitandao mingine ilipata idadi kubwa ya simu kushindwa kuunganishwa kuliko idadi inayotakiwa na TCRA, kwa upande wa simu kushindwa kumalizika (yaani simu ambazo zinakatika katikati ya maongezi) http://www.visionarywebsite.com/?kiolsa=iq-optio&14b=cc VODACOM TIGO na HALOTEL ndio walio ibuka vinara baada kuwa na simu chache ambazo zilikatika katikati ya mazungumzo kama ambavyo grafu inaonesha. Katika upande wa ubora wa sauti katika mtandao wa 3G hakuna mtandao ambao ulifikia viwango vilivyowekwa na TCRA.

TCRA

Grafu ikionesha kiasi cha simu kushindwa kumalizika kwa mitandao mbalimbali Mwanza

> Arusha 

TCRA inasema kama unaangalia mtandao ambao hauna matatizo ya simu kushindwa kuunganisha katika 3G kwa Arusha HALOTEL ndio imefikia viwango mitandao mingine haikufikia viwango vilivyowekwa na TCRA, na kama unaaangalia mtandao ambao hautakuwa na uwezekano wa simu kukatika katika hovyo basi HALOTEL SMART, TIGO na VODACOM ndiyo mitandao ambayo unaitafuta kwa sababu AIRTEL wao hawakufaulu kiwango kilichowekwa na TCRA. Na kama unatafuta mtandao wenye ubora wa sauti wakati wa maongezi basi SMART ndiyo mtandao pekee uliokidhi vigezo vya TCRA kwa mtandao wa 3G Arusha.

TCRA

Grafu ikionesha asilimia ya simu zilizoshindwa kumalizika katika mitandao mitatu iliyopata matokeo bora

Soma TAARIFA YA UBORA WA HUDUMA ZA WATOA HUDUMA ZA SIMU ZA MKONONI KAMA ILIVYOPIMWA KATIKA JIJI LA ARUSHA, DAR ES SALAAM NA MWANZA, JANUARI – MARCHI 2016

SOMA PIA:  Hii hapa Huawei GR5 2017; Simu janja mpya kutoka Huawei kwa mwaka 2017 #Uchambuzi

Mamlaka ya mawasiliano imewataka watoa huduma wote kuhakikisha kwamba huduma zao zinafikia kiwango ambacho kimewekwa katika vigezo vyote na iwapo katika uchunguzi utakaofuata itabainika mtoa huduma ameshindwa kufikia vigezo basi atachukuliwa hatua za kisheria.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.
error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com