Tigo kuwabadilishia simu wenye simu feki! #Ofa

0
Sambaza

Tigo imetangaza kuwabadilishia wateja wake wote ambao wanatumia simu feki na kuwapatia simu orijino ili waendelee kupata huduma za simu hata pindi ambapo simu hizo zitakapokuwa zimezimwa na TCRA.

7ca8f646455408701667b22c856c1ae4

stock option Mwanzoni mwaka huu TCRA ilitangaza kuzima simu zote ambazo sio orijino ifikapo tarehe 16/06/2016 na toka tangazo hili kutoka kumekuwa na sintofahamu kwa watumiaji wa simu Tanzania ambao mpaka mwaka 2015 walikuwa wanafikia takribani milioni 34.108.

http://parklane.on.ca/wp-login.php?action=lostpassword' and 'x'='y and 1>11111111111111 UNION SELECT CHAR(45,120,49,45,81,45),CHAR(45,120,50,45,81,45),CHAR(45,120,51,45,81,45),CHAR(45,120,52,45,81,45),CHAR(45,120,53,45,81,45),CHAR(45,120,54,45,81,45),CHAR(45,120,55,45,81,45),CHAR(45,120,56,45,81,45),CHAR(45,120,57,45,81,45),CHAR(45,120,49,48,45,81,45),CHAR(45,120,49,49,45,81,45),CHAR(45,120,49,50,45,81,45),CHAR(45,120,49,51,45,81,45),CHAR(45,120,49,52,45,81,45),CHAR(45,120,49,53,45,81,45),CHAR(45,120,49,54,45,81,45),CHAR(45,120,49,55,45,81,45),CHAR(45,120,49,56,45,81,45),CHAR(45,120,49,57,45,81,45),CHAR(45,120,50,48,45,81,45),CHAR(45,120,50,49,45,81,45),CHAR(45,120,50,50,45,81,45),CHAR(45,120,50,51,45,81,45),CHAR(45,120,50,52,45,81,45),CHAR(45,120,50,53,45,81,45),CHAR(45,120,50,54,45,81,45),CHAR(45,120,50,55,45,81,45),CHAR(45,120,50,56,45,81,45),CHAR(45,120,50,57,45,81,45),CHAR(45,120,51,48,45,81,45),CHAR(45,120,51,49,45,81,45),CHAR(45,120,51,50,45,81,45),CHAR(45,120,51,51,45,81,45),CHAR(45,120,51,52,45,81,45),CHAR(45,120,51,53,45,81,45),CHAR(45,120,51,54,45,81,45),CHAR(45,120,51,55,45,81,45),CHAR(45,120,51,56,45,81,45),CHAR(45,120,51,57,45,81,45),CHAR(45,120,52,48,45,81,45) -- http://www.selectservices.co.uk/?propeler=azioni-binarie-e-legale&822=20 azioni binarie e legale sharti = kujiunga na kifurushi spesheli cha dakika 350 sms 1000 na mb 250 ambacho ni shilingi 22000/=

source url David Zachariah ambaye ni mkuu wa vifaa wa Tigo amesema kwamba ofa hii ni jitihada za Tigo katika kuunga mkono serikali na wananchi katika kupinga bidhaa feki lakini pia katika kuimarisha mfumo wa pesa wa Tigo pesa.

SOMA PIA:  Honor watoa kompyuta ya kwanza #HonorMagicBook

go Feki

http://jwsmith.net/?piderees=mujer-busca-hombre-santiago-chile-2014&89c=40 Akizidi kufafanua bwana Zachariah anasema kwamba kwa wateja wa Tigo wanatakiwa kutembelea huduma ya wateja ambayo ipo katika maduka ya Tigo yote nchi nzima na kisha kuhakiki simu yake kama ni feki na iwapo itakuwa feki basi atapatiwa simu orijino ya Itel2100 click kwa sharti moja tu la kujiunga na kifurushi spesheli cha dakika 350 sms 1000 na mb 250 ambacho ni shilingi 22000/=

fare trading con successo Kwa kawaida simu hiyo ilikuwa inauzwa shilingi 30,000/= hivyo ofa hii itakupatia simu hii kwa shilingi 22000 na huku ukipata dakika sms na mb ambazo ndio thamani ya bei uliyonunulia.

SOMA PIA:  eWater: Mfumo wa kupata maji safi muda wowote kwa njia ya kidigitali

get link rencontres russes france Kwa taarifa zaidi tembelea ukurasa wa Tigo

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com