Tigo Waomba Msamaha Kwa Huduma Mbovu Wikiendi

1
Sambaza

Je wewe ni mtumiaji wa mtandao wa Tigo?

Mtandao huo umeomba msahama kwa tatizo la huduma zake kipindi cha wikiendi iliyoisha, hasa hasa jumapili.

go here

Wamesema kisa cha huduma zao kusumbua kulisababishwa na kukatika kwa mkongo wa mawasiliana wanaoutumia.

Je wanasameheka? Soma msamaha wao kwenye picha hapa;

tigo

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
SOMA PIA:  Airtel Care - App inayorahisisha huduma mbalimbali kwa wateja wa Airtel
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

1 Comment

  1. Pingback: Tigo Waomba Msamaha Kwa Huduma Mbovu Wikiendi | Teknolojia

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com