Toyota Waja na Gari la Mbao – #Teknolojia

0
Sambaza

Toyota kutambulisha gari lilotengenezwa kwa mbao na teknolojia ya kiutamaduni ya nchini Japan isiyohusisha utumiaji wa misumari wala nati katika kuzishikilia mbao hizo.

Sersuna - Gari la mbao kutoka Toyota

fincar 5 mg for sale usa Sersuna – Gari la mbao kutoka Toyota

Teknolojia hii imetokea wapi?

le meilleur site de rencontre gratuit Huko nchini Japan kuna mahekalu ya kitamaduni ambayo huvunjwa na kujengwa upya kila baada ya miaka 20. Kitu cha pekee katika ujengaji wa hekalu hizo no utumiaji wa mbao usiohusisha utumiaji wa ata msumari mmoja katika ujenzi wake.

binäre optionen indikatoren mt4 Teknolojia hiyo inatumika kwa miaka mingi katika ujengaji wa hekalu maarufu Japan –  http://fhlchristianministries.org/?encycloped=Weekly-options-trading-list&996=9e The Ise Grand Shrine

click Ubomoaji na ujengaji wa mahekalu hayo umekuwa ukifanyika kwa takribani miaka 1,300 sasa, na huwa wanabomoa na kujenga tena ili kuhakikisha majengo hayo yanaendelea kuwa na nguvu na usalama. Teknolojia ya ujengaji huo inapitia kwa vizazi hadi vizazi, na sasa Toyota wanatumia teknolojia hiyo katika utengenezaji wa gari.

SOMA PIA:  Mwanamuziki John Legend atoa video mpya ya nyimbo iliyopigwa na Simu

Wiki ya Ubunifu mjini Milani, Italia

http://sat-rent.de/deribbebe/20625 Takribani mwezi kuanzia sasa kutakuwa na maonesho ya ubunifu katika jiji la Milani, (Design Week in Milan, Italy) na ndio Toyota wanategemewa kutambulisha gari hilo rasmi.’

follow site Ubunifu wa gari hilo ambao wameuita Setsuna, unaonesha kitu ambacho wanaweza kukifanya baadae. Wanashiriki maonesho hayo ili pia kuweza kupata mitazamo kutoka wabunifu wengine.

speed dating washington dc 2018 http://beerbourbonbacon.com/?niokis=interracial-dating-central-app&072=5d Aina kadhaa za mbao zimetumika kutengeneza bodi la gari hilo, chasis, viti, uskani (steering wheel) na rim za matairi.

SOMA PIA:  Programu ya kuokoa data kutoka kwenye simu/kompyuta

Je mbao hizo zimejishakaje kama misumari na ‘screw’ hazijatumika?

click Ni uunganishaji wa sehemu zinazokutana kwa kutumia maumbo ya ‘concave’ na ‘convex’ (umbo la mbonyeo) ndio vinavyoshikanisha sehemu mbalimbali za gari hilo.

Lini magari la namna hiyo litaanza kupatikana?

Usitegemee kununua gari hilo siku ya karibuni… ni kitu wanachokifikira kukifanya lakini si leo. Na ata hiyo miaka ya mbele wakitumia teknolojia hii kutengeneza magari ya kuingia sokoni na kuuzika yatakuwa ni magari ya bei ghari sana.

SOMA PIA:  Takwimu za Tanzania na uhalifu wa kwenye mtandao #Uchambuzi #Ripoti

Unaonaje Boeng nao wakitengeneza ndege ya mbao? 🙂 Sipandi ng’ooooo… Tuambie maoni yako 🙂

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com