TreeSize: Programu ya kukusaidia Kusafisha Diski Yako! - TeknoKona Teknolojia Tanzania

TreeSize: Programu ya kukusaidia Kusafisha Diski Yako!

0
Sambaza

Ni kawaida kwa kompyuta au ‘external HDD/SSD’ kujaa, iwe ni kutokana na picha, video, programu n.k ni rahisi sana kujaza ujazo wa aina yeyote ile.

diski imejaa kompyuta simu

Na ni mara nyingi sana jambo la muhimu kufanya huwa ni kutafuta mafaili ya kufuta(delete), na kazi hii huwa ni ngumu kama una mafaili mengi.

purchase erythromycin online Hapa ndio programu ya TreeSize inapokuwa muhimu.

Programu hii ya ukubwa mdogo na pia ya BURE kabisa inakusaidia kufanya mchanganuo wa mafaili yaliyo kwenye kompyuta yako.

Utaweza kuelewa mafaili ya aina gani yanachukua nafasi zaidi na pia yapo wapi ili kukusaidia kuyafuatilia kuyafuta.

Kupakua TreeSize tembelea – https://www.jam-software.com/treesize_free/ Inafanya kazi kwa http://vipluxsalon.com/new-tools-of-the-craft/ Windows XP hadi Windows 10.

Je wewe huwa unatumia njia gani kugundua mafaili yanayochukua nafasi kubwa katika kompyuta yako?

Njia nyingine – WinDirStat : Jinsi ya Kupata Nafasi KTK ‘Hard Disk’ Iliyojaa

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Jinsi ya kuficha au kufichua mazungumzo kwenye WhatsApp
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.