Tuma SMS Bure Siku Nzima Leo na Tigo - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Tuma SMS Bure Siku Nzima Leo na Tigo

0
Sambaza

Inasemekana kwa siku ya jana wateja wa wengi wa Tigo walipata shida sana katika huduma ya sms, na kutokana na hilo kampuni hiyo imeamua kutoa ofa kabambe kwa watumiaje wake kutumia huduma hiyo ya ujumbe mfupi bure kwa siku ya leo. Tazama walichoandika Facebook leo;

source url

Ujumbe kwenye Ukurasa wao wa Facebook

go site where can i buy erythromycin Ujumbe kwenye Ukurasa wao wa Facebook

Kupitia meseji zilizoandikwa na watumiaji wa mtandao huo wengi wameonekana kufurahia ofa hiyo kwa sana.

Hivi karibuni tumeona mitandao mingi ikizingua kwenye huduma zake asa za kipesa (mobile money) na pamoja huduma ya intaneti na ninadhani ofa kama hii ikiwa inatolewa na mitandao hiyo pale huduma hizo zinapozingua itakuwa msaada zaidi. Hongereni Tigo kwa hili!

INAYOHUSIANA  Tanzania: Inashika nafasi ya 149 kwa kasi ya intaneti

Tupe Maoni Yako!

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply