Tungulizibomba : Teknolojia mpya ya Kudhibiti Mbu iliyonivutia. #InnovationTZ

0

Wiki ya ubunifu (Innovation Week) chini ya udhamini wa HDIF inaendelea jijini Dar es Salaam. Na leo nitakueleza kuhusu teknolojia iliyonivutia. Leo fahamu kuhusu Tungulizibomba! 🙂

see

Kupitia shunguli hii utaweza kujionea teknolojia mbalimbali zinazobuniwa na kutengenezwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kijamii – katika kutatua matatizo au changamoto mbalimbali zilizopo sehemu mbalimbali nchini.

source link tungulizibomba teknolojia ubunifu tanzania

is it legal to buy fincar online Tungulizibomba ni enter vifaa vya kudhibiti mbu ambavyo husimikwa kwenye sehemu ya juu kabisa ya ukuta iliyokaribu na paa la nyumba ‘tungulizi’. Ndio mara yangu ya kwanza kuliona neno hili na uhakika kwa wengi wetu itakuwa ni mara ya kwanza pia.

Kukusaidia kuelewa maana ya Tungulizi.

http://euromessengers.org/?biodetd=bin%C3%A4re-optionen-handeln-f%C3%BCr-anf%C3%A4nger&608=c0 Kama umeona nyumba za matofali ya kuchoma au udongo utakuwa unagundua ya kwamba kuna matundu huwa yanachwa wazi eneo la juu la kuta za nyumba hizo, karibu na eneo la bati. Matundu hayo ndio yanaitwa tungulizi, na hivyo vifaa hivyi vya kuwekwa eneo hilo kwa ajili ya kudhibiti mbu vimepewa jina la Tungulizibomba.

Ufanyaji kazi wa Tungulizibomba

Tungulizibomba mbu hdif

femme de menage cherche travail alger ‘Eaves’ ndio eneo la Tungulizi kwa kiswahili

  • Tungulizi iliyo wazi huwekwa tungulizibomba na kisha kuzibwa sehemu zilizo wazi.
  • Tungulizi iliyozibwa hutobolewa matundu na kuwekwa tungulizi bomba.
  • Kiasi kikubwa cha harufu ya binadamu hutoka nje kupitia tungulizibomba na kisha kuvutia idadi kubwa ya mbu wa Malaria.
  • Wakati wa kuingia kwenye tungulizibomba, mbu hugusana na kipande cha neti kilichotiwa dawa na kufa papohapo au muda mfupi baadae.

Faida za teknolojia hiyo

Kitungulizibomba

impara trading Nyumba iliyowekewa vitungulizibomba

conocer mujeres chinas china Teknolojia hii imegunduliwa na watafiti mbalimbali wakiwa chini ya programu ya MCD (Mosquito Contamination Device), programu iliyochini ya udhamini wa Umoja wa Ulaya ikiwa imejikita katika teknolojia za kupambana na Mbu na Malaria.

Muda si mrefu utaweza kununua Tungulizibomba na kutumia katika ujenzi wako. Je una maoni gani juu ya teknolojia hii?

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

http://diebrueder.ch/piskodral/7601 Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com