Tweet ya Obama ya ‘kuvumiliana’ imepata ‘Like’ nyingi zaidi katika historia ya Twitter

0
Sambaza

Tweet ya aliyekuwa Rais wa Marekani Barak Obama inayohusu kuvumiliana ndio tweet iliyopendwa (Like) zaidi katika historia ya Twitter.

http://ramshergill.com/womens/cillian-murphy/favicon/websites/1/favicon.ico

Tweet hiyo ambayo ni ya kwanza kati ya tatu zinazomnukuu Nelson Mandela na liliandamana na picha ya Rais Obama aliyekuwa akitabasamu na kundi moja la watoto wa rangi tofauti.

go site Imependwa zaidi ya mara milioni 3 tangu ilipochapishwa mnamo tarehe 13 mwezi Agosti kufuatia shambulio la Charlottesville Virginia.

see  

gratis datingsider Tweet ya Obama inazidi kuendelea kupokea Likes..angalau hapa chini

sie sucht ihn landkreis osnabrück

go to link  

SOMA PIA:  Zlatan Ibrahimovic azindua game yake mpya ya Zlatan Legends

go site Tweet hiyo imeipita ile ya Ariana Grande alipotuma salamu za rambirambi baada ya shambulio la kigaidi la Manchester ‘Taught to Love'{Nilifunzwa kupenda}.

dating physical boundaries Katika tweet hizo tatu kwenye akaunti yake ya Twitter, Bwana Obama alinukuu mshororo mmoja katika kitabu cha wasifu wa Mandela, The long Walk to Freedom.

”Hakuna aliyezaliwa akimchukia mwengine kwa sababu ya rangi mizizi yake ama hata dini”.

rencontrer filles a montreal Nukuu hiyo ilisema: Watu wanafaa kujifunza kuchukia, na iwapo wanaweza kujifunza kuchukia pia wanaweza kufunzwa kupenda kwa kuwa mapenzi huja yenyewe katika moyo wa binaadamu kinyume na chuki.

SOMA PIA:  Kama una akaunti ya Twitter badilisha nywila (nenosiri) yako mara moja!

Picha hiyo inaonyesha ziara ya bwana Obama 2011 katika kituo cha kuangalia watoto katika eneo la Bethesda, mjini Maryland.

Picha hiyo ilipigwa na aliyekuwa mpigia picha wa Ikulu Pete Souza.

Tangu ushindi wa Rais Trump , bwana Souza amekuwa akichapisha picha katika Instagram , zinozoonyesha uongozi wa bwana Obama akiufananisha na mrithi wake.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com