Twitter: Herufi 140 Zinatosha Kabisa, Hakuna Nyongeza!

0
Sambaza

Kama ulikua unategemea Twitter iongeze idadi ya maneno katika Tweets, ondoa wazo hilo kwani hilo halitawezekana tena

source site

piattaforme trading opzioni digitali Hapo awali Twitter walitoa ripoti kuwa wanafikiria kuongeza idadi ya maneno katika Tweets watu watakazokuwa wanatuma. Namba ambayo ilifikiwa ni kwamba kampuni ilikua inafikiria kuifanya tweet moja iwe hadi na herufi  10,000 (ni herufi nyingi sana kwa Twitter niliyoizoea)

Mwisho Wa Tweet Ni Herufi 140 Tuu twitter

Dettagli http://nlst-usa.com/?trere=probabilitÃÂÂÂ� -nelle-opzioni-binarie - Agenzia Doganale 0481798845 Via Grota Del Diau, Zot 2 visualizza indirizzo, numero di telefono, CAP, mappa, indicazioni stradali e Mwisho Wa Tweet Ni Herufi 140 Tuu

opcje binarne polski broker Mkurugenzi wa mtandao huo wa kijamii Bw. Jack Dorsey ametoa taarifa hizi ijumaa iliyopita (18/03/2016) kuwa Mtandao huo hauna mpango tena wa kuongeza idadi ya maneno katika Tweets zitakazo kuwa zinatumwa.

SOMA PIA:  Twitter sasa kuhakikisha usalama kwenye mazungumzo

http://nottsbushido.co.uk/hotstore/Hotsale-20150822-2364.html sind binäre optionen seriös Kumbuka umaarufu wa idadi chache ya maneno katika Twitter (herufi 140) ndio umechangia kwa kiasi kikubwa kuzaliwa kwa vifupi vingi vya maneno kama vile OOMF,FF na vingine vingine. Maneno yakiwa mengi kwa mtazamo wangu Twitter inaweza  ikapoteza utamu wake (kama unanielewa)

go to site Kwa wengine hii inaweza ikawa si habari njema kwako kwa wanapata shida kutuma Twitter nyingi wakielezea kitu kimoja. Wengine katika kujielezea kwa ufupi hawawezi na idadi kubwa ya herufi zingewasaidia. Mpaka leo kuna watu wanaandika Tweets zaidi ya moja katika kuelezea kitu kimoja tuu.

SOMA PIA:  Twitter: Watu wanatwiti zaidi, ila twiti zao si ndefu sana

trade option binaire Hata hivyo kuna ujanja ujanja mwingine wa kutumia katika kuhakikisha unavuka herufi 140 katika Tweet. Kwa mfano unaweza ukapandisha picha katika Twitter na ukabofya sehemu ya “Who’s in this photo” ili kuwa ‘tag’ wale ambao wapo katika picha hiyo. Sasa badala ya kufanya hivyo unaweza ukaamua kuongeza maneno mengi tuu ambayo ulitaka kuandika ila herufi zikawa hazitoshi.

Jack Dorsey

enter site Jack Dorsey

Buy Cialis 25 mg in Aurora Colorado Japokuwa hii ilitupambaza wengi kwa kujua kuwa mabadiliko yatakuja. Lakini Bw. Dorsey amesema tusahau kabisa katika mabadiliko hayo na pia amesema Twitter moja kati ya malengo yake ni kuwasaidia watumiaji wake kutuma Tweet ili kuweka mawasiliano ya haraka haraka.

SOMA PIA:  YouTube yafanya mabadiliko ya logo!

Baada ya hayo kusemwa, tuandikie sehemu ya comment nini maono yako juu yanhili. Tembelea TeknoKona kila siku. Kumbuka TeknoKona Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

here Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com