Twitter: Ina watumiaji wazungumzaji sana lakini Haitengenezi Pesa

1

Katika mitandao ya kijamii ambayo ni maarufu na inawatumiaji wenye mazungumzo mengi sana ni Twitter, lakini tatizo lake moja kubwa ni kwamba mtandao huu wa kijamii bado hautengenezi pesa za kutosha ukilinganisha na mitandao mingine ya kijamii.

binary option robot funziona http://www.arthotelvarese.it/?yutie=trading-oro-consigli&a8b=41 Mtandao wa Twitter ingawa inavutia mazungumzo mbalimbali kuanzia ya kisiasa, kiutani, n.k yanayohusisha hadi watu mashuhuri kama Rais wa Marekani wa sasa, wasanii na watu wengine mashuhuri kwa wadogo bado mtandao huu unapata shida katika kuvutia makampuni kutumia pesa kujitangaza katika mtandao huo.

 Ina watumiaji wazungumzaji sana

source link Mtandao wa kijamii wa Twitter

follow link Mtandao wa Twitter bado upo nyuma katika kuvutia mapato yanayotokana na matangazo ukilinganisha na mitandao mingine kama vile Facebook na ata Instagram na Snapchat.

http://jwsmith.net/?piderees=ligar-gratis-para-outro-celular&7af=0b Katika ripoti ya mapato na ukuaji ya kampuni uya Twitter iliyotoka Alhamisi hii inaonesha bado mtandao wa kijamii wa Twitter unapata shida kukuza idadi ya watumiaji, matangazo na mapato.

source link Kwa mfano katika miezi mitatu ya mwisho ya mwaka 2016 Twitter ilikuwa na wastani ya watumiaji milioni 319 kwa mwezi, huu ni ukuaji wa asilimia 4 tuu ya watumiaji ukilinganisha na kipindi cha mwaka mmoja nyuma, pia namba hii ni ndogo ukilinganisha na mtandao wa Facebook. Facebook ina takribani wastani wa watumiaji bilioni 1.86 kwa mwezi.

http://specialolympics.es/?erimeri=las-mejores-se%C3%B1ales-para-opciones-binarias&ab1=a1 binary options cpa affiliate Twitter wanategemea kupata mapato ya dola milioni 91 tuu katika kipindi cha miezi hii mitatu ya mwanzo, hii ni chini sana ukilinganisha na pato la dola milioni 191 ambalo wengi waletegemea wafikie.

http://orpheum-nuernberg.de/?bioede=anyoption-app-st%C3%BCrzt-ab&0ff=bd Ingawa bado kibiashara mtandao huo upo katika hali ngumu ila ni uhakika bado hautaenda popote kwa sasa. Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Bwana Jack Dorsey anasema itaitaji muda mrefu kidogo na mabadiliko kadhaa ili kuweza kuona ukuaji wa watumiaji pamoja na mapato.

Vipi je wewe una mtazamo gani juu ya mtandao wa kijamii wa Twitter? Unautumia? Ni kipi kiboreshwe ili uweze kuutumia zaidi?

Kumbuka kusambaza makala na pia kuungana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram, YouTubeTelegram na Google Plus

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

http://serezin-du-rhone.fr/pifpaxys/4249 Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com