Twitter sasa kuhakikisha usalama kwenye mazungumzo

0
Sambaza

Kwa taarifa zilizotoka hivi karibuni zinasema kuwa Twitter wapo mbioni kutumia mtindo wa kulinda ujumbe wa watumiaji wake wa mazungumzo yao yanakuwa yanaweza kusomwa kati ya watu wawili tu.

go

rencontre homme riche algerie Utaratibu huo (end-to-end) hufanya mazungumzo yote yanayofanywa na watu wawili kubaki kuwa siri bila ya kuweza kuingiliwa na mtu wa tatu.

Mjuzi wa kuandika programu mwenye jicho la Tai, Bi. Jane Manchun Wong pamoja na mitandao mbalimbali  amegundua hilo kupitia majaribio na uchunguzi alioufanya kwenye programu ya Twitter kwenye simu za Android.

usalama kwenye mazungumzo

go here Moja wa watu waliobaini kuwa Twitter ipo mbioni kuhakikisha jumbe za watu zinakuwa salama.

go Mwaka 2016, Edward Snowden alimwomba Mkurugenzi Mtendaji wa Twitter, Bw. Jack Dorsey kuwa na uwezekano wa kulinda mawasiliano kati ya wale wanaowaliana (end-to-end encryption) kwenye Twitter au uwepo na utaratibu wa ujumbe kufutika pale tu muhusika aliyetumiwa atakapousoma.

usalama kwenye mazungumzo

chris morton binary options Maana ya ujumbe kuweza kusomwa na wale ambao wanawasiliana tu.

video dimostrazione fare trading binario Ombi la Snowden lilijibiwa na Mkurugenzi huyo kwamba inawezekana na watafikiria ushauri wake.  see Twitter inayojulikana sana kwa alama yake ya reli (hashtag) http://www.ivst-vz.de/?debin=stockpair-deutsche-regulierung  inaonekana kutekeleza ombi la Bw. Snowden kimya kimya.

SOMA PIA:  Sasa unaweza Kutuma Mafaili ya Aina Yeyote kupitia WhatsApp

Kuongezeka kwa kipengele hicho kutaizidishia Twitter kuwa jukwaa lililo salama zaidi kwa mawasiliano na ufikishaji ujumbe kwa jamii. Mpaka sasa Twitter haijatoa tamko lake kuhusiana na taarifa hiyo kama ina ukweli wowote au la!

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

site de rencontre catholique avis Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

mujeres solteras en nueva york Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com