Twitter; Sasa tuma hadi GIF ya ukubwa wa MB 15 - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Twitter; Sasa tuma hadi GIF ya ukubwa wa MB 15

0
Sambaza

Mtandao wa kijamii wa Twitter wazidi kuonesha ni kwa namna gani wanatengeneza mazingira ya kuchochea zaidi utumiaji wa GIF. Kuanzia sasa watumiaji wa mtandao huo wataweza tuma ktk Tweet hadi GIF ya ukubwa wa MB 15.

click here

http://intrepidnortheast.com/2015/ http://nacflightnews.com/events/category/basketball/varsity-girls/2016-02-11/ Kwa kawaida ukubwa ulikuwa hadi MB 5 tuu.

Kwa sasa uwezo wa kuweka hadi MB 15 umeletwa kwenye watumiaji wa Twitter wa mtandao. Bado kwenye app ya Twitter na Tweetdeck bado kiwango cha juu kimewekwa MB 5. Kiwango cha MB 5 kipo tokea mwaka 2014.

gif ni kitu gani?

Gif ni mfumo wa video-picha maarufu sana katika mitandao ya kijamii. Huusisha mpangilio wa video fupi zinazowekwa kwenye mfumo wa kama picha za taratibu.

INAYOHUSIANA  Kifaa cha kupima malaria bila ya damu chaundwa nchini Uganda

Faida kubwa ya Gif ni udogo wa mafaili yake na hivyo kufanya iwe rahisi watu kutumiana video za mfumo wa Gif kwa kuwa hazitumii data nyingi ukilinganisha na mifumo ya video za kawaida – kama vile mp4 n.k.

GIF ni maarufu sana katika mitandao mbalimbali ya kijamii, na kwa hadi sasa mitandao mingi ina ruhusu hadi MB 5.

Kwa wapenda Gif basi hii itakuwa habari nzuri kwao!

Vyanzo: AndroidHeadlines,

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.