Uber kufanya Majaribio magari Yanayojiendesha yenyewe

0
Sambaza

Ile kampuni maarufu kwa utoaji wa huduma wa taxi kwa njia ya kuita taxi kwa kutumia app (Uber app), sasa kufanyia majaribio gari zinazojendesha zenyewe zikiwa na abiria.

mann sucht frau in luxemburg

instaforex opcje binarne Kutokana na ukuaji wa soko la ushindani Uber wameamua kujaribu magari hayo ambayo yanaendeshwa bila ya uwepo wa devera. Hii itakuwa ni kwa mara ya kwanza tangu Uber ianze kutoa huduma ya taxi, mtumiaji atakuwa na uwezo wa kuchagua kama anataka huduma inayotolewa na Uber afuatwe na gari yenye dereva au la!

SOMA PIA:  FAHAMU: Mega Pixel (MP) Ni Nini Na Inafanya Nini Katika Picha!

http://stadsmagasinet.se/gotland/tag/isbana/feed/ Magari hayo yatakuwa http://carbonbikerepair.com.au/?encifkodf=option-time-trading&175=c0 yakiamuriwa pakwenda pale mteja atakapobonyeza kwenye simu janja na kupelekwa mahali husika kulingana na ramani ya eneo analokwenda mteja. Hata hivyo gari hizo zitakuwa na go dereva wa akiba kusaidia pale ambapo gari ya kujiendesha yenyewe haitaweza kujua la kufanya kukabiliana na jambo fulani.

Gari inayojiendesha yenyewe ikiwa na dereva wa akiba

source link forex göstergeleri Gari inayojiendesha yenyewe ikiwa na dereva wa akiba.

Majaribio ya magari yanayojiendesha yenyewe hayataenda zaidi ya mji wa Pittsburgh na hakuna mpango wa karibuni kufanya majaribio kwenye miji mingine zaidi ya Pittsburgh.

http://luenne.com/nikiow/1317 Gharama za kutumia gari za Uber zinazojiendesha zenyewe zitakuwa ni rahisi zaidi ya mtu kumiliki gari yake  na itakuwa ni bure kwa mteja yeyote atakayejitolea kutumia huduma taxi kwa gari linajiendesha lenyewe.

Muonekano wa ndani wa gari aina ya Volvo inaweza kujiendesha yenyewe.

Work at your home jobs Muonekano wa ndani wa gari aina ya Volvo inaweza kujiendesha yenyewe.

meilleur site de rencontre canada Pia Uber wametangaza tenda ya dola mil. 300 kwa Volvo kutengeneza magari yanayojiendesha yenyewe na kutoa ujuzi wa kilichonyuma ya pazia kwenye teknolojia ya magari yanayojiendesha yenyewe. Ielewe kuwa magari yanayojiendesha kutoka Uber yanatoka Ford. see Uber wataanza kutumia magri hayo rasmi kwenye shughuli zake baadae mwezi huu.

SOMA PIA:  Mfumo wa AI utakaoweza kufanya kazi bila intaneti unaundwa

Nini maoni yako kuhusu hatua ya majaribio ya magari yanayojiendesha kutoka Uber? Niambie katika sehemu ya comment. Hii ndio TeknoKona kwani daima tunakuhabarisha wewe msomaji wetu.

follow link Vyanzo: Chicago Tribune, Vice news

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com