Uber na Tigo zashirikiana kama njia ya kuwafikia wateja wao vizuri

1
Sambaza

Ufanisi katika jambo lolote lenye tija na manufaa ni kitu muhimu sana na sasa huduma ya usafiri wa kukodi unaotolewa na Uber imefungua ukurasa mpya kwa kuamua kufanya kazi na Tigo Tanzania.

kopparbergs.se

Usafiri wa kukodi, Uber umekuwa na umaarufu wake kwa wakazi wa jiji la Dar Es Salaam na hivyo kuwa na mvuto kwa wengi hasa wale ambao hawapendi kupata shida ya kugombania usafiri au kufika sehemu ambayo mtu anakwenda bila nguo yake kuchafuka kwa vumbi/majasho.

go Unaweza ukajiuliza nini ambacho kimewaleta Uber na Tigo katika meza moja na kuamua kufanya kazi kwa pamoja? Jibu ni rahisi sana, Real time binary options signals mt4 teknolojia lakini utauliza tena kivipi? http://orpheum-nuernberg.de/?bioede=erfahrungen-mit-bd-swiss&a3b=c9 Uber anamiliki programu tumishi na ili uweze kuita huduma ya usafiri wa Uber basi itakubidi uwe na kifurushi cha intaneti (MBs).

Watumiaji wote wa app ya Uber na wanaotumia laini ya Tigo hawatatozwa kiasi chochote cha kifurushi cha intaneti wanapokuwa wanatumia programu tumishi ya Uber.

Uber na Tigo

tranzactionare forex Uber ni moja ya huduma ya usafiri ambapo iwapo safari ya kwenda mahali imeanza na dereva hakuwasha kiyoyozi una haki ya kulalamika kwanini dereva hajawasha “Kileta upepo” ndani ya gari.

Uwezo wa kutumia app ya Uber bila kifurushi chako cha intaneti kutumika ni kwa wote, dereva pamoja na abiria anayetumia laini ya TIgo.

Makubaliano baina ya Uber na Tigo Tanzania yanaangaziwa kama hatua mojawapo ya watu kuzidi kutumia programu tumishi ya Uber ili kuweza kupata huduma hiyo bila makato ya MBs (bure).

Ofa nyingine kutoka Tigo na Uber zipo mbioni kuja. Ulishawahi kutumia huduma ya usafiri wa Uber kabla na baada ya ofa hii kuwepo? Unazungumziaje makubaliano ya Tigo Tanzania na Uber?

click Vyanzo: Developing Telecoms, Tigo Tanzania

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
SOMA PIA:  Jinsi Ya Ku'Block Simu Katika iOs Bila Ya Kutumia App! #iPhone
Share.

About Author

http://sumarplant.ro/franciye/423 Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com