Udhamini wa Masomo Katika Masuala ya TeknoHama Kutoka TCRA - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Udhamini wa Masomo Katika Masuala ya TeknoHama Kutoka TCRA

0
Sambaza

TCRA wametoa nafasi ya kudhamini wanafunzi katika kozi zinazohusiana na TeknoHama (ICT – Information and Communication Technologies). Ofa hii ni kwa ajili ya mwaka wa masomo wa kuanza mwaka huu, yaani 2015/16 na ni katika ngazi za Shahada (Degree), Shahada ya uzamili (Masters), na Shahada ya uzamifu (PHD).

Katika udhamini huu TCRA watakulipia gharama zote zinazohusu masomo (ada n.k) pia watakupatia pesa kwa ajili ya vitabu, na kujikimu wakati wote wa masomo. Pia kumbuka gharama zilizopigiwa hesabu ni kwa mlinganisho wa gharama za masomo katika vyuo vya Serikali ila una haki ya kuomba udhamini huu kupitia chuo chochote kilichosajiriwa na TCU.

Sifa za kuweza kupata nafasi ya udhamini huo tutaziweka kama zilivyoandikwa kwenye taarifa rasmi kuepuka nafasi ya makosa ya kiutafsiri. Ila kwa kifupi nafasi ni 8 – Shahada (5), Shahada ya uzamili (2), na Shahada ya uzamifu (1). Fomu za maombi zinapatikana katika mtandao wao wa www.tcra.go.tz , makao makuu ya TCRA na ofisi zao za Zanzibar, Dodoma, Mbeya, Arusha na Mwanza. Na kama kote ni mbali basi unaweza andika barua pepe ya maombi ya kupata fomu hizo kupitia anuani hii –  dg@tcra.go.tz.

INAYOHUSIANA  TCRA kuzifutia leseni DSTV na ZUKU

TAARIFA ZAIDI;

Eligibility:

Applicants must be Tanzania citizens.

(a) Undergraduate Students:

The applicant must have completed Advanced Certificate of Secondary Education Examination in the year 2015.
The applicant must be admitted or intending to be admitted in any ICT related degree programs in an accredited Institution of Higher Learning in Tanzania in the 2015/16 academic year.
The applicant must have obtained division one in the Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE) or equivalent.

(b) Master Students:

Have an honours upper second or higher undergraduate degree from recognized University.
The applicant must be admitted or intending to be admitted in any ICT related degree programs in an accredited Institution of Higher Learning in Tanzania in 2015/16 academic year.

INAYOHUSIANA  Vodacom na wizi wa fedha mtandaoni

(c) PhD Students:

Have an honours upper second or higher undergraduate degree from recognized University.
Masters degree or an equivalent Masters degree from a recognized university.
The applicant must be admitted or intending to be admitted in any ICT related degree programs in an accredited Institution of Higher Learning in Tanzania in 2015/16 academic year.

Number per year:

5 Undergraduate Scholarships

2 Masters Scholarships

1 PhD Scholarships

Closing date:

July 20 2015

How to apply:

Application Forms can be obtained from our website www.tcra.go.tz or applicants can visit TCRA HQ or our Zanzibar office, Zone offices in Dodoma, Mbeya, Arusha, and Mwanza to obtain application forms. You can also request the same by email through dg@tcra.go.tz. Only shortlisted candidate will contacted for interview.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply