Urusi yatishia kuifungia Facebook 2018 - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Urusi yatishia kuifungia Facebook 2018

0
Sambaza

Wasimamizi wa masuala ya mawasiliano nchini Urusi wametishia kuufungia mtandao wa Facebook nchini humo kufikia mwaka 2018.

http://thespacejourney.com/main-home/coming-soon/ Kwa mujibu wa habari, sheria ya Urusi huyataka makampuni yote kutoka nje kuhifadhi data zake nchini humo.

getting Lamotrigine without doctor http://thesweetsunshine.com/tag/red-white-and-blue/ Mtandao wa Facebook umekubali kupeleka mbele ya kamati ya bunge la Marekani data za watumiaji na watangazaji matangazo wa Urusi waliofanya hivyo kipindi cha uchaguzi wa Marekani.

urusi yatishia kuifungia facebook

Urusi yatishia kuifungia Facebook

Kiongozi wa shirika la mawasiliano nchini humo Alexander Zharov amesema kuwa kutokana na sheria ya Urusi ya mwaka 2014, Facebook inapaswa kuhifadhi data zake nchini humo au ikubali kufungiwa.

Alexander Zharov vilevile katika mahojiano amesema kuwa Twitter imekubaliana na sheria hiyo na imeahidi kufanya hivyo ifikapo katikati ya mwaka 2018.

INAYOHUSIANA  Facebook yalegeza masharti kuhusu matangazo ya sarafu za kidijitali

Ripoti zinaonyesha kuwa bwana Zharov mwaka jana aliufungia mtandao wa kibiashara Linkedln mnamo mwezi Novemba.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.