Utafiti: Watu Wa Miaka 10 – 19 Wanapenda Sana Snapchat Na Instagram!

0
Sambaza

Kwa mara ya kwanza mtandao wa Snapchat umeshika mioyo ya vijana haswa wale wa miaka 10 mpaka 19. Hapo awali mtandao wa Facebook ndio ulikuwa kila kitu. Kwa sasa utafiti unaonyesha hilo limebadilika

go here

http://bti-defence.com/language/en/business-opportunities/ Utafiti huo ulihusisha vijana (10 – 19) 6,500 ambalo walionekana kuwa wanatumia na kuupenda sana mtandao huo. Aslimia 28 kati yao walitoa mawazo yao na kusema wao wanaona huo ndio mtandao wa kijamii ambao ni muhimu sana kuliko yote.

Snapchat Na Instagram Zikipambanishwa

recensioni su auto opzioni binarie Snapchat Na Instagram Zikipambanishwa

http://visitsvartadalen.nu/?saxarokese=Viagra-25-mg-n%C3%A4tet&9ef=8b Instagram ilionekana ni muhimu sana kwa baadhi ya vijana ambao waliuchagua mtandao huo katika mitandao mingine yote. Instagram ilipata asilimia 27 kama mtandao muhimu sana, namba hii ikiwa ni nyuma ya Snapchat.

SOMA PIA:  Je umeshawahi tumia poda ya JOHNSON'S !? Ina skendo ya kusababisha kansa ya kizazi!

http://makse.com/?kremel=dating-requires-patience&9b7=c8 Katika utafiti uliopita vijana wengi (11 – 19) walisema mtandao wa Instagram ndio mtandao mzuri sana na ukashika alimia 33 wakati Snapchat ikishika asilimia 19 tuu.

http://drybonesinthevalley.com/?tyiuds=forex-market-watch-free-download Ukiangalia namba hizo utaona kuwa Snapchat imeweza kupanda kwa kasi sana. Kitu ambacho pia kionaonyesha mtandao huo unajitahidi katika kukuwa na kwamba wameuboresha mtandao huo sana

go here Mtandao wa Snapchat tangia uanzishwa kwaka 2011 umeweza kuwapata zaidi ya watu milioni 100 kutembelea App yake. Uwezo wake wa kuwafikia zaidi vijana umeipa umaarufu mkubwa sana. Na kutokana na jambo hilo App hiyo imejikuta ikipata matangazo mengi.

SOMA PIA:  Tovuti maarufu ya ExtraTorrent yaacha kupatikana

Pokemon Card Maker (unofficial) SKINs allow you to Make your own Pokemon Card! trading simulazione A powerful online TCG Maker / CCG Maker for making your Kutokana na Snapchat, asiliamia 60 ya watumiaji wake wa marekani ni vijana kati ya miaka 13 mpaka 34. Hata video za mtandao huo zinaangaliwa sana kwa siku. Mpaka sasa video zinaangaliwa mara bilioni 8 kwa siku.

Maelezo Ya Jinsi Ya Kutumia Mtandao Wa Snapchta Kwa Ufupi

see Maelezo Ya Jinsi Ya Kutumia Mtandao Wa Snapchta Kwa Ufupi

http://heatherbestel.com/2010/04/magical-meditations-4-kids/ Kwa sasa kampuni la Snapchat lina thamani ya dola bilioni 19 za kimarekani, namba hii inalifanya kampuni kuwa moja kati ya kampuni lenye thamani kubwa kati ya mitandao ya kijamii.

SOMA PIA:  Amazon Inaandaa App (Anytime) Ya Kutuma Na Kupokea Ujumbe/Meseji!

partnersuche coburg Sifa hizo nyingi za Snapchat labda ndio zilizolifanya kampuni hilo kuwa na wapenzi wengi vijana.

Niandikie sehemu ya comment hapo chini hili wewe unalipokeaje? Je kw mtazamo wako huo ndio mtandao unaopendwa zaidi?. Pia usisite kuniambia mtandao wa kijamii ambao unakukosha zaidi. Kumbuka TeknoKona Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

http://inter-actions.fr/bilobrusuy/4079 Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com