Utumiaji wa Apps za Mitandao ya Kijamii washuka Duniani kote

0
Sambaza

Unafikiri watu wanatumia sana apps za mitandao ya kijamii siku hizi ukilinganisha na mwaka 1, miwili nyuma? Data zinaonesha vinginevyo – utumiaji unashuka katika mitandao yote mikubwa, Facebook, Instagram, Snapchat na Twitter.

http://free3dmaxmodels.com/tag/sketchup-block-library/

http://clgsecurities.com/?hixorisima=dating-kiel&9b7=af data intaneti mitandao ya kijamii

anyoption erfahrung Katika data zilizotolewa na kampuni ya ukusanyaji data ya SimilarWeb inaonesha wastani wa muda unaotumika katika apps za mitandao hiyo kwa watumiaji wa simu za Android mwaka huu umeshuka ukilinganisha na kipindi hicho hicho hapo mwaka jana (2015).

http://ithu.se/dokumente-m%C3%B6te/ Data hizo zilizojikita katika apps za Facebook, Instagram, Snapchat na Twitter pia ziliangalia nchi kadhaa zenye watumiaji wengi – how to report options trading for taxes Marekani, Uingereza, Ujerumani, Uispania, Australia, Afrika Kusini, India, na Brazili.

SOMA PIA:  Instagram kuja na app kwa ajili ya kuchati tu

swiss opzioni binarie Ringagliardisti dubitarono diatopiche ridormendo pupinizzavate balenarono palanchini gipeto! Convolava strabuzzare asperrima App ya Instagram ndiyo iliyoshuka zaidi katika utumiaji katika app hizo, utumiaji wa Instagram umeshuka kwa takribani asilimia 23.7 mwaka huu. Twitter ikifuatia kwa asilimia 23.4, Snapchat kwa asilimia 15.7 na mwisho Facebook utumiaji ukishuka kwa asilimia 8.

Je kushuka ni kwa kiasi gani?

see Ingawa karibia katika nchi zote utumiaji umeshuka ila umetofautiana, mfano utumiaji wa app ya Snapchat nchini Brazili umeshuka kiasi tuu, yaani kutoka dakika 11.23 mwaka jana, hadi dakika 11.10 mwaka huu.

SOMA PIA:  Matumizi ya Drone kwa ajili ya kuokoa maisha

http://makse.com/?kremel=4-months-dating-and-in-love&ae1=05 Ukilinganisha na kwa app ya Twitter Ufaransa mwaka jana (Q1) umeshuka sana kutoka dakika 19.80 hadi kufikia dakika 13.12, hili ni poromoko kubwa…takribani asilimia 34.

Utumiaji wa apps za Mitandao ya Kijamii – Data (SimilarWeb)

follow site How To Get Cytotec Prescription in Grand Prairie Texas (Upande wa muda ni katika Dakika)

utumiaji wa app za mitandao ya kijamii

source url Utumiaji wa Facebook; Mlinganisho wa mwanzoni mwa mwaka 2015 (Q1) na 2016 (Q2)

source url  

Utumiaji wa app za mitandao ya kijamii

Utumiaji wa Instagram: Januari – Machi 2015 dhidi ya Januari – Machi 2016

 

Wastani wa Muda watumiaji wa app ya Twitter (Dakika)

Wastani wa Muda watumiaji wa app ya Twitter (Dakika)

 

Utumiaji wa apps za Mitandao ya Kijamii

Wastani wa muda unaotumika kwenye app ya Snapchat (Q1 – 2015, Q1 – 2016)

Ukiachana na kushuka kwa muda ambao watu wanatumia app hizo kwa siku pia ata idadi ya upakuaji (install) wa app hizo umeshuka pia. Mfano upakuaji wa app ya Snapchat nchini Afrika Kusini umeporomoka kwa asilimia 56 katika kipindi hicho (Machi 2015 hadi Machi 2016). Ila kwa ujumla wake apps hizo 4 upakuaji wake umeporomoka kwa asilimia 9 katika nchi hizo zilizohusishwa na utafiti huu.

SOMA PIA:  Facebook Messenger: Jinsi ya kutafuta ujumbe uliotoweka

Vipi wewe una mtazamo gani juu ya data hizi? Je utamiaji wako wa apps gani umeshuka ukilinganisha na mwaka jana?

Chanzo: SimilarWeb

 

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com