Viettel Imetangaza Nafasi za Ajira Kibao

0
Sambaza

viettel_tanzaniaKampuni mpya ya simu Tanzania ya Viettel imetangaza nafasi za ajira nyingi na watu wanaruhusu kuomba kuanzia sasa. Wafanyakazi wanaohitajika ni wa vitengo vya rasilimaliwatu, sheria, fedha, uhasibu, masoko, uchumi, mipango, takwimu, uwekezaji, ugavi, usafirishaji, utunzaji wa vifaa, umeme, simu, teknolojia ya habari na mawasiliano, biashara, utawala na uhusiano wa umma.

Maombi yanatakiwa kutumwa kwa barua pepe, nayo ni viettelrecruiter @gmail dot com, ukiwasilisha ombi lako la kazi basi watakutumia fomu maalumu.

SOMA PIA:  FastJet kupata ndege mpya, Embraer E190. Ifahamu Zaidi

Nafasi ni nyingi sana kwani wanaitaji wafanyakazi buku 2 na ni kwa maeneo mbalimbali nchini.

airtel ofa kabambe

Kazi ni kwako! | Kuifahamu Viettel Zaidi BOFYA HAPA

VIETTEL-NAFASI-KAZI

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. – Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom

| mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com