Vioja vya Twitter: Huawei Tanzania Watwiti Kwa iPhone

0
Sambaza

Huawei TanzaniaLeo lile balaa linalowakuta watu wenye majukumu ya kusimamia akaunti za makampuni ya utengenezaji simu au ata mara nyingine watu mashuhuri wenye majukumu ya kutangaza bidhaa za simu (Ambassadors) limewakuta Huawei Tanzania kupitia akaunti yao ya Twitter.

Msimamiaji wa akaunti hiyo ametuma ujumbe kama Huawei Tanzania huku akitumia simu ya iPhone kujisahau ya kuwa mwishoni Twitter wangeandika ni simu ya aina gani ujumbe huo umepitia!!!!! Tazama picha, ila inaonekana wamefanya mabadiliko mara moja kwa kufuta na kutwit upya.

SOMA PIA:  Ulinzi madhubuti wa kudhibiti barua pepe kudukuliwa (mtu mwingine kuitumia)

huawei Tanzania Twitter

Kosa hilo liligunduliwa na mtumiaji wa Twitter mmoja, ndugu Bernard Chuma naye akatwit kama hivi;

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com