WhatsApp Business kupatikana kwenye iOS - TeknoKona Teknolojia Tanzania

WhatsApp Business kupatikana kwenye iOS

0
Sambaza

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Facebook, Bw. Mark Zuckerberg amesema hivi karibuni WhatsApp Business itaanza kupatikana kwenye simu za mfumo wa iOS.

buy celexa cheap

Mark Zuckerberg aliyasema hayo Katika Mkutano wa F8 ambapo alikuwa akielezea mafanikio ya WhatsApp Business katika makampuni madogo yalioanza kutumia programu hiyo huku moja ya mipango ni kuongeza zaidi watumiaji wa programu ya WhatsApp Business.

Aidha, njia ya kuongeza watumiaji wa WhatsApp Business ni kuanza kupatikana katika simu za mfumo wa iOS (simu za iPhone). Tangu kuanza kwa programu tumishi hiyo imekuwa kwa ajili ya simu za Android tu na mpaka sasa WhatsApp Business ina watumiaji zaidi ya milioni tatu duniani kote.

WhatsApp Business ni nini?

WhatsApp Business ni toleo maalum la WhatsApp kwa ajili ya order prednisone online canada makampuni na wafanyabiashara ambapo umesaidia sana makampuni na wafanyabiashara kutenganisha mazungumzo ya kawaida na yale yanayohusu biashara. Pia imesaidia kutangaza biashara na bidhaa mbalimbali za makampuni na wafanyabiashara. Kujua zaidi kuhusu WhatsApp Business can you buy Prozac online uk BOFYA HAPA.

kupatikana kwenye iOS

WhatsApp business ya kwenye iOS inamuwezesha mtumiaji kutuma ujumbe wa salamu kwa mteja aliyemtumia ujumbe kwa mara ya kwanza.

Programu tumishi ya WhatsApp Business kwenye iOS bado inafanyiwa kazi (ipo katika hatua za mwanzo kabisa) na kuna baadhi ya vipengele kama vile labels na Quick Replies bado havijaonekana kwenye programu hiyo lakini vipo kwenye WhatsApp Business upande wa Android.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Smile Telecom ya Uganda yawalipia wateja wake kodi ya mitandao kwa miezi mitatu
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.