WhatsApp Haifanyi Kazi Au Imekuwa Nzito? Fanya haya!

WhatsApp Haifanyi Kazi Au Imekuwa Nzito? Fanya haya!

0
Sambaza

Unaweza ukawa  ukapata ujumbe kama huu: http://andysproshop.com/images/star_ “Unfortunately WhatsApp has stopped”. Saa nyingine hii inatokana na mtumiaji tuu labda unaweza kuta mtumiaji kafungua follow  App ya WhatsApp alafu ghafla akaifunga.

Hata hivyo bado kuna mambo mengi ambayo yanaweza sababusha whatsapp ikawa haifanyi kazi au kuwa na mwendo wa kobe (slow). Zifuatazo ni baadhi ya njia ambazo zinaweza kuiwezesha whatsApp yako kufanya kazi kwa ufasaha kama inavyotakiwa.whatsapp-error-tanzania

http://marcinsonpress.com/wp-content/plugins/leaflet-maps-marker-pro/leaflet-fullscreen.php?layer=0 FUTA MESEJI

Saa nyingine kitu kinachofanya Whatsapp iwe nzito ni meseji zilizojisevu. Meseji zikiwa nyingi inaladhimu App ya WhatsApp kuchukua muda sana katika mchakato mzima wa kuwahi kufunguka. Jaribu kufuta meseji amabzo sio za muhimu katika App hiyo ili kuacha wazi nafasi amabayo ilikua ina meseji hizo.

INAYOHUSIANA  Betri la Samsung Galaxy Note 9 ni salama

ZIMA NA KUWASHA

Kuzima na kuwasha simu pia inachangia kufanya whatsApp na App nyingine (simu kwa ujumla) kutokua ‘slow’, ukizima simu alafu ukaiwasha unaifanya simu kujianzisha apps/programu muhimu tuu hivyo ufanisi wake huongezeka. Inshauriwa kuzima na kuwasha simu yako ingawa mara moja kwa wiki.

Weka Toleo Jipya Zaidi (Update)

Kwa mfumo wa android whatsApp kama haujai ‘Update’ bila shaka haitafanya kazi mpaka ui update. Ujumbe kwama huu utakua unatokea ‘this  copy of whatsApp has expired, downlaod to the latest  version’ . Fanya mpango na Update whatsApp yako

MEMORI

Lakini labada chanzo ni memori ya simu (RAM), inaweza ikawa unatumia Apps nyingi kwa simu ambayo ina memori ndogo. Hii itakupelekea simu yako kuwa nzito katika kufanya kazi zake. Jinsi ya kuepukana na hili jambo ni kufuta Apps mbalimbali ambazo hazitumiki mara kwa mara na hazina kazi katika simu yako

INAYOHUSIANA  Apple kununua vioo vya simu kutoka LG badala ya Samsung

FUTA KISHA IWEKE UPYA

Kama bado tatizp linaendelea basi futa App hiyo ya WhatsApp kisha iweke tena upya. Jitahidi usirudishe mazungumzo ya mwanzo (back up conversation), hasa kama yalikuwa mengi kwani inaweza  ikawa faili ni kubwa sana na linaweza leta tatizo lile lile tena.

Kumbuka mara zote kama imekuwa nzito au haifanyi kazi fuata hatua hizi.

Tembeleza kurasa zatu za Twitter, Facebook na Instagram . comment yako ni muhimu sana

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply