WhatsApp kurahisisha mawasiliano baina ya watu na makampuni/biashara

WhatsApp kurahisisha mawasiliano baina ya watu na makampuni/biashara

0
Sambaza

WhatsApp kurahisisha mawasiliano baina ya watu na makampuni mbalimbali kupitia app yao maarufu duniani.

order lisinopril

Kampuni hiyo inafanyia majaribio uwezo wa mawasiliano kati ya watumiaji wa kawaida na makampuni au biashara kwa shughuli za kama vile mauzo na ata msaada kwa wateja.

http://artguildmf.org/event/february-membership-meeting/ go to site WhatsApp kurahisisha utumiaji wa app hiyo kwa makampuni na biashara kwa ajili ya mawasiliano na wateja wao.

WhatsApp kurahisisha mawasiliano baina ya watu na makampuni

WhatsApp kurahisisha mawasiliano baina ya watu na makampuni: Jinsi akaunti ya kibiashara itakavyotambulika

Kitakachotokea;

  • Biashara zitapewa utambulisho rasmi (Twitter, Instagram na Facebook zinaitwa ‘verified accounts’).
  • Mtumiaji wa WhatsApp wa kawaida bado ataweza kublock akaunti ya biashara kama hataki kuendelea kupata mawasiliano kutoka kwao
  • Kama tayari una namba ya biashara/kampuni unayowasiliana nayo basi jina ulilotumia ndio hilohilo linakaloonekana WhatsApp ila kama hauna namba ya kampuni husika basi kwenye WhatsApp utaona jina ambalo kampuni hiyo imejiwekea lenyewe.
INAYOHUSIANA  Mechi za La Liga kuonyeshwa bure na Facebook

Hadi sasa ni biashara chache tuu zilizopewa uwezo huu, huduma hii ipo katika majaribio (beta) ila tunaamini muda si mrefu iattanza kusambaa na kuanza kutumika.

Je utafurahi kama itakuwa rahisi zaidi wewe kuweza kuwasiliana na biashara/kampuni kupitia WhatsApp?

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.