WhatsApp kwenye kompyuta: WhatsApp waleta toleo la Windows na Mac

WhatsApp kwenye kompyuta: WhatsApp waleta toleo la Windows na Mac!

0
Sambaza

Baada ya upatikanaji wa huduma ya WhatsApp kwenye kompyuta kupitia kivinjari cha kompyuta kama vile Chrome na Firefox sasa WhatsApp wameamua kuleta programu spesheli kwenye kompyuta – Windows na Mac.

whatsapp kwenye kompyuta

buy acyclovir Muonekano wa programu ya WhatsApp kwenye kompyuta

follow link Ujio huu unaweza ukawa mwanzo wa uletaji pia wa uwezo mbalimbali kwa toleo la WhatsApp la kompyuta. Muda si mrefu tusishangae pale tutakapoona WhatsApp ikizidi kujitutumua katika kutumiwa kwenye kompyuta kushindana na programu ya muda mrefu ya mawasiliano kwenye kompyuta ya Skype.

Kwa sasa kama unataka kupakua programu hii kwenye kompyuta yako tembelea -> https://www.whatsapp.com/download

watch Soma pia makala za maujanja na habari za WhatsApp -> TeknoKona/WhatsApp

INAYOHUSIANA  WhatsApp inaweza kuchezewa

Je umefurahishwa na maendeleo haya kutoka WhatsApp? Tuambie kwenye ‘Comment’

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.