Windows 10 Kuuzwa katika USB – Flash Disks

0

Wakati watumiaji wa toleo la Windows 7 na Windows 8 rasmi wataweza kupata toleo la Windows 10 kwa kulishusha na kupakua (download & upgrade) kutumia intaneti kwa wengine bado itabidi kununua toleo hili katika mfumo wa kawaida.

Windows 10 Itatumika Kwenye Vifaa vya Aina Zote -Simu, Tableti, Kumpyuta n.k

Tastylia Tadalafil Oral Strips Online No Prescription Windows 10 Itatumika Kwenye Vifaa vya Aina Zote -Simu, Tableti, Kumpyuta n.k

site de rencontre pour docteur Imekuwa imezoeleka kwa miaka mingi Windows kuuzwa katika CD ila katika kipindi hiki inasemekana toleo la Windows 10 Home na Pro litauzika katika diski za USB. Inasemekana uamuzi huu utasaidia kwani kompyuta nyingi siku hizi zinatengenezwa bila eneo la CD na hivyo CD ni teknolojia inayoondoka taratibu.

see text dating free Inasemekana USB flash diski moja itakuwa na matoleo yote ya Windows 10 Pro na Home, na USB Diski hiyo itauzika kwa si chini ya Tsh laki 3.

see Microsoft bado hawajatangaza rasmi jinsi watakavyouza toleo la Windows 10 ila tayari taarifa kutoka kwenye baadhi maduka na mitandao inayouuza programu endeshaji inaonesha kutakuwa na diski za USB zenye matoleo hayo.

http://teentube.cz/?ertye=donde-conocer-gente-rica&783=a0 Toleo la Windows 10 linategemewa kuanza kupatikana rasmi tarehe 29 mwezi wa saba mwaka huu.

http://www.newmen.eu/pigils/niodjr/398 get link Endelea kusoma mtandao wako wa TeknoKona kuweza kupata habari zaidi. Je unadhani uamuzi huu ni sahihi?

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

go here Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com