Waiba Tsh Bilioni 27.9 katika zaidi ya ATM 1,400 ndani ya masaa 3!

0

Majambazi wa kiteknolojia nchini Japani waiba zaidi ya Yuan bilioni 1.4 sawa sawa na Tsh Bilioni 27.9 (Ksh Bilioni 1.29) kupitia ATM 1,400 katika miji kadhaa nchini humo ndani ya masaa 3.

Wizi huo ulifanyika kwenye ATM kwa kutumia kadi za kibenki na imetambulika kadi hizo za ATM zilihusisha akaunti za benki ya nchini Afrika Kusini.

http://bowlnorthway.com/?jisdjd=trucchi-per-trading-binario&e36=35 wizi atm 1,400

cosa sono le opzioni binarie Hakuna wizi uliohusisha akaunti ya benki ya nchini Japan, waliiba taarifa za kibenki za wateja wa nchini Afrika kusini – wa benki ya Afrika Kusini.

frauen treffen УМber 40 ATM zilizotumika kutoa pesa zilikuwa za miji ya Tokyo, Kanagawa, Aichi, Osaka, Fukuoka, Nagasaki, Hyogo,Chiba, Nigata na mingine zaidi.

http://mhs.se/intra_modul_info.php?id=3 see Inasemekana wizi huu ulihusisha kundi kubwa la watu na hivyo kuonesha kulikuwa na mipango mikubwa kuanzia kuiba taarifa za data za kibenki kupitia mtandao na kisha kutumia data hizo kutengenezea kadi zilizotumika kwa wizi huo.

How To Get Cytotec Prescription in Escondido California mujer linda soltera inteligente busca Kwa sasa polisi wa nchini Japani wamesema wanajitahidi kupitia video kutoka kwenye kamera za kwenye ATM za miji hiyo ili kuweza kubaini watu waliohusika ila kwa kuwa inaonekana ilihusisha ATM nyingi na watu wengi basi itachukua muda sana.

go to link Pia wanashirikiana tayari na polisi wa nchini Afrika kusini kwa karibu kupitia shirika la Interpol ili kuweza kufahamu ni kwa jinsi gani taarifa za kibenki za wateja ziliweza kuchotwa kutoka kutoka nchini humo.

http://www.hamburg-zeigt-kunst.de/?biudet=demo-bin%C3%A4re-optionen&f5f=10 source site Kwa sasa tayari mabenki kadhaa yashaathirika na masuala ya udukuzi wa data – hii ni pamoja na Qatar National Bank, Bangladesh Central Bank na ata shirika la Fedha la nchini Marekani, US Federal Reserve. Katika sehemu hizi nyingine umoja wa udukuzi wa kimtandao kupitia http://creatingsparks.com/wp-cron.php?doing_wp_cron=1498754308.3371250629425048828125 kundi la Anonymous limehusika zaidi.

Mambo kama haya yanaleta changamoto sana kwa mabenki kuweza kuwekeza katika mifumo ya kikompyuta yenye ulinzi na usalama zaidi wa data za watumiaji wake.

kennenlernen razem czy osobno Chanzo: IBTimes.co.uk

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com