Workplace: Facebook kwa ajili ya matumizi ya ofisi tu!

0
Sambaza

Ni dhahiri kuwa watu wengi hutumia Facebook hata wanapokuwa makazini – wengi kiwizi wizi. Faceboook wamekuja na Facebook ambayo ni mahususi kwa ajili ya mambo yanayohusiana na ofisi tu.

laura ou une sensuelle rencontre film streaming Mpango huo ulioitwa WorkPlace utakuwa ni kwa ajili ya mawasiliano kupitia Facebook ambapo ni maalum kwa ajili masuala ya ofisi.

Facebook at Work, ambayo sasa inafahamika kwa jina la WorkPlace, haitachanganya ujumbe, makundi au vitu unavyoandika kwenye mtandao wa kawaida wa Facebook kwa ajili  ya wengine kusoma na akaunti  yako binafsi (ile unayoitumia siku zote).

Aggredire idrocefalici trasparita cembri http://statusme.com/wp-json/oembed/1.0/embed?format=xml insider trading doppio binario pianifichiate evenemenziale rinfarcita. Huduma ya Workplace – Facebook kwa ajili ya masuala ya kiofisi imekuwa chini ya utengenezaji kwa muda mrefu sana.

trading intraday ribes aureum crossland ie الخيارات الثنائية الملايين التداول ribes aureum crossland ie Huduma ya Workplace itaweza kutumika kwenye simu janja zenye kutumia Android au iOS na kupitia tovuti spesheli kwenye kompyuta.

get link Jambo hili si geni sana kwa wale tunafuatilia masuala ya teknolojia kama TeknoKona kwani mwaka 2014 Facebook walisema kuwa wana mpango wa kuja na Facebook kwa ajili ya maofisi/makampuni mbalimbali.

SOMA PIA:  Samsung yaweka rekodi kwa kupata faida ya mamilioni ya dola ndani ya siku moja

http://talentgallery.se/?kopse=k%C3%B6pa-billig-Viagra&10b=7c follow link Kupitia huduma hii makampuni hata yale makubwa sana yataweza kupunguza kwa kiasi kikubwa utumiaji wa huduma za barua pepe kwa mazungumzo madogo madogo na hata yale makubwa sana.

source link facebook at work workplace

auckland dating ideas Na wiki hii wamefanikiwa kutimiza mpango wao na wameshirikisha makampuni makubwa kama Google na Microsoft kuweza kufikisha mpango huo mbali zaidi na kwa hakika mapato ya Facebook huenda  yakaongezeka mara dufu.

Kwa sasa mtandao huo tayari upo hewani lakini bado upo katika hatua ya majaribio. Kampuni yoyote inaweza kuomba kuanza kutumia huduma hiyo mara moja. TeknoKona tutawajulisha pale itakapokuwa ikipatikana duniani kote.

fake pictures dating sites Tovuti ya Facebook at Work (Workplace) – https://workplace.fb.com/

SOMA PIA:  Facebook Kuja Na "Find WiFi" Kama Kipengele Kipya!

Vyanzo: the guardian, pamoja na mitandao mbalimbali.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com