Xiaomi kufungua duka kubwa la simu zake uwanja wa ndege

Xiaomi kufungua duka kubwa la simu zake uwanja wa ndege

0
Sambaza

Kampuni ya simu za Xiaomi imetangaza kufungua duka la simu zake katika uwanja wa ndege wa Shenzhen Baoan nchini China jumamosi ya machi 10, 2018.

http://workinitfitness.com/purchase-services-online-store/ Xiaomi katika kipindi cha nyuma ilizingatia kwenye maduka ya mtandaoni zaidi kuliko maduka halisi ya kawaida na yaliyozoeleka.

Xiaomi kufungua duka kubwa la simu zake uwanja wa ndege

where can i buy Depakote over the counter Xiaomi kufungua duka kubwa la simu zake uwanja wa ndege

purchase celebrex Hata hivyo Xiaomi ilibadilika kwa kuanza kufungua maduka ya kawaida ya kuuzia simu zake. Hadi sasa ina mamia ya maduka iliyofungua katika nchi kadhaa duniani.

Aidha sambamba na duka hilo la uwanja wa ndege Xiaomi itafungua maduka mengine katika sehemu mbalimbali kama Changsha Wanjiali shop, Jiaozuo Wanda Plaza shop, Jinzhou beautiful future shop, Yu City, na Peak City Square store.

INAYOHUSIANA  Ijue simu mpya ya Honor Play 7

Rais wa Xiaomi, Lin Bin amesema wataendelea kufungua maduka ya Xiaomi Mi katika sehemu mbalimbali kwani ni mojawapo ya sababu ya mauzo ya juu kwa simu zake.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.