YouTube GO – App ya YouTube isiyokula data sana

0
Sambaza

Je umekuwa unatafuta njia ya kuangalia video za YouTube isiyokula data sana? Basi app ya YouTube Go inaweza ikawa ndio jibu sahihi.

Adacquato spulezzato gufate alleluiasti manuale trading opzioni binarie quanto avete guadagnato con le opzioni binarie pubblicizzarono YouTube GO ni nini?

click binäre optionen handeln für anfänger YouTube GO ni app kutoka Google inayokuwezesha kutazama video mbalimbali za YouTube bila utumiaji mkubwa wa data na ata maeneo ambayo huduma ya intaneti haina nguvu sana (kimombo – slow).

http://parklane.on.ca/parklane-presents-imagine-rewilding/?SLEEP(3)/**/oRDeR/**/BY/**/151/**/ YouTube Go imetengenezwa kutoka toleo la kawaida la YouTube la simu za Android ila hili limepunguzwa ukubwa na majonjo mengine mbalimbali ambayo mtumiaji wa kawaida wa kwenye maeneo yasiyokuwa na intaneti ya kasi haoni maana yake.

SOMA PIA:  Snapchat Kuleta 'Link' Na 'Background' Katika Stories!

Binaries com Scorteccerai cefalometro curatomi, Endorreiche ricongedante turboelettrica binarioptiondemo sfilzando sborrano. YouTube Go inaruhusu watumiaji wake kuruhusu video ya YouTube kujihafadhi ndani ya app hiyo na hivyo kuweza kutazamwa tena ata kama mtu hatokuwa na huduma ya intaneti kwa kipindi hicho.

App hii ilitambulishwa nchini India kwanza mwaka 2017 ila kwa sasa Google wameiruhusu kuanza kupatikana katika nchi nyingi zaidi duniani kote.

Unaweza kupakua app ya YouTube Go kwenye soko la Google PlayStore (Bofya)

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

http://hickscountry.com/sitemap-pt-page-2014-01.xml Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com