Youtube yazidi kuwawekea ngumu wenye msimamo mkali

0
Sambaza

Youtube imetangaza kuzidi kuwawekea ngumu watu wenye misimamo mikali ambao wamekuwa wakichapisha video zenye maudhui ya kuhamasisha misimamo mikali katika mtandao huo.

demo operazioni binarie option 24

youtube youtube yazidi kukawekea

watch Hatua hii imekuja baada ya mtando huu kuendelea kukosolewa kwa kutodhibiti watu wenye msimamo mkali katika mtandao huo.

opzioni binarie classiche Watu wenye misimamo mikali ya kibaguzi kidini na kiimani wamekuwa wakitumia mtandao huu kueneza misimamo yao, hili limepelekea matatizo mengi pamoja na ugaidi wa kisasa ambapo mtu haitaji kwenda mahali fulani kuwa na msimamo mkali bali ni kompyuta na intaneti tu.

SOMA PIA:  Uwezo wa kurudisha kile kilichokuwa kimehifadhiwa kwenye memori ya simu

http://blossomjar.com/pacinity/1524 Kwa muda mrefu serikali za nchi mbalimbali zimekuwa zikihimiza mitandao (Youtube ikiwemo ) kufanya jitihada kuzuia misimamo mikali, kwa upande wao Youtube wamekiri kwamba bado hawajafanikiwa lakini wanafanya kila linalowezekana kuzuia vitu vya misimamo mikali kusambazwa katika kurasa zao.

Youtube inafanya nini kuwazuia watumiaji wenye msimamo mkali kusambaza imani zao?

http://poloclubmiddennederland.nl//test/wp-admin kwa mujibu wa bandiko lililowekwa katika blog ya Google; Youtube inatarajia kuongeza  wataalamu wanaojitegemea katika program yao ya kugundua video zinazo kiuka taratibu, pia kwa kutumia teknolojia ya kufananisha picha video zote ambazo zilipigwa marufuku (kipindi cha nyuma) zitakataa kupakiwa tena katika mtandao huo ili kuzuia video ambazo zilikwisha fungiwa kusambazwa tena.

SOMA PIA:  Mlipuko wa simu wamuua msichana wa miaka 18

who is scotty mccreery dating 2018 Kama hiyo haitoshi mtandao huu umepanga kupanua makundi yake ambayo yanapambana na usambazwaji wa misimamo mikali, bandiko hilo  limesema pia wataongeza msimamo juu ya video zote ambazo zina maoni yenye msimamo mkali.

Endelea kufatilia mtandao wako Teknokona kwa habari mbalimbali za Teknolojia katika lugha yako ya Kiswahili.

opcje binarne na mt4  

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.
error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com